mdosi wako
Member
- Nov 25, 2024
- 21
- 13
Ndio mkuuPesa ya kujikimu ni tofauti na mshahara?
Ni pesa unayotakiwa kulipwa baada ya kuajiriwa ili uweze kucover gharama za nauli kutoka ulipokuwepo hadi kituo cha kazi pia kuweza kukusaidia maisha pindi unapokuwa unasubiri mshaharaNdio mkuu
Ukute kuna wajanja wanakunja huo mzigoNdio mkuu
Wewe dogo kuwa mpole piga kazi hiyo ela tumesha ifanyia kazi nyingine ila tutakulipa kama madeni ila usiulize tumeifanyia kazi gani.Kama kichwa cha habari kinavyosema mm ni mtumishi katika halmashauri ya mji wa Tarime, toka nimeajiriwa miaka mitatu iliyopita na sijawahi kulipwa hela yangu ya kujikimu na kila ninavyofuatilia imekuwa ni danadana.
Wenye mamlaka tusaidieni tuweze kulipwa hela ya kujikimu kwa maana ni haki yetu.
Lipiza kwa kupokea rushwa.Noma kama noma!Kama kichwa cha habari kinavyosema mm ni mtumishi katika halmashauri ya mji wa Tarime, toka nimeajiriwa miaka mitatu iliyopita na sijawahi kulipwa hela yangu ya kujikimu na kila ninavyofuatilia imekuwa ni danadana.
Wenye mamlaka tusaidieni tuweze kulipwa hela ya kujikimu kwa maana ni haki yetu.
Lakini siyo fresh na sisi ni watanzania jamaniUkute kuna wajanja wanakunja huo mzigo
Na sisi ni watanzania tuna haki piaAchana nao mkuu,watu wanakula kwa urefu wa kamba zao
Binadamu wanatamaa sana,yaan unakuta yeye ana mshahara mzur tu lakin bado anataman cha mnyonge unaeanza kama wewe
Kuna baadhi ya halmashauri wanakula mpaka hata miezi mitatu mishahara ya watumishi wapya
Rushwa mkuu,hiyo noma ila watulipe jamaniLipiza kwa kupokea rushwa.Noma kama noma!
Tupeni hata nusu basiWewe dogo kuwa mpole piga kazi hiyo ela tumesha ifanyia kazi nyingine ila tutakulipa kama madeni ila usiulize tumeifanyia kazi gani.
Acha kazi hadi wakubembeleze kwa kulipa pesa yàko ya kujikimu.Kama kichwa cha habari kinavyosema mm ni mtumishi katika halmashauri ya mji wa Tarime, toka nimeajiriwa miaka mitatu iliyopita na sijawahi kulipwa hela yangu ya kujikimu na kila ninavyofuatilia imekuwa ni danadana.
Wenye mamlaka tusaidieni tuweze kulipwa hela ya kujikimu kwa maana ni haki yetu.
We hujui tu inapunguza morali ya kaziAcha kazi hadi wakubembeleze kwa kulipa pesa yàko ya kujikimu.
Kwanini ufanye kazi huna morali? Dawa yao hao ni kuwakomoa kwa kuacha kazi! Au unasemaje?We hujui tu inapunguza morali ya kazi
Asante kwa kashfa ila Mungu yupoKwanini ufanye kazi huna morali? Dawa yao hao ni kuwakomoa kwa kuacha kazi! Au unasemaje?
Akiacha kazi atakula wapiKwanini ufanye kazi huna morali? Dawa yao hao ni kuwakomoa kwa kuacha kazi! Au unasemaje?
Kuna watu wana zaidi ya miaka mitano wamekosa ajira. Kuna mmoja anauza miwa na mwingine ni mlinzi wa shule ya chekechea hapa jirani kwangu. Yeye eti analalamika amekosa sijui nini, PUMBAVU KABISA!Akiacha kazi atakula wapi
Mkuu mishahara wa mtu unakulaje wakati unatoka azina?Achana nao mkuu,watu wanakula kwa urefu wa kamba zao
Binadamu wanatamaa sana,yaan unakuta yeye ana mshahara mzur tu lakin bado anataman cha mnyonge unaeanza kama wewe
Kuna baadhi ya halmashauri wanakula mpaka hata miezi mitatu mishahara ya watumishi wapya
Kukosa ajira ni swala moja na kupata stahiki zako wakati umepata ajira ni swala jingine kama siyo muhimu basi litolewe uone kama kutakuwa na malalamikoKuna watu wana zaidi ya miaka mitano wamekosa ajira. Kuna mmoja anauza miwa na mwingine ni mlinzi wa shule ya chekechea hapa jirani kwangu. Yeye eti analalamika amekosa sijui nini, PUMBAVU KABISA!