Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Si uache kazi? Kwanini ung'ang'anie kudhulumiwa? Au nenda mahakamani kadai haki yako. Miaka MITATU unadai haki yako JF? Mjinga kabisa!!!Kukosa ajira ni swala moja na kupata stahiki zako wakati umepata ajira ni swala jingine kama siyo muhimu basi litolewe uone kama kutakuwa na malalamiko
Haya nitafanyia ushauri wako kaziSi uache kazi? Kwanini ung'ang'anie kudhulumiwa? Au nenda mahakamani kadai haki yako. Miaka MITATU unadai haki yako JF? Mjinga kabisa!!!
Upo kada gani?Rushwa mkuu,hiyo noma ila watulipe jamani
Ushauri mzuri sanaPole ndugu,ajira ni aina ya kazi ihusishayo kutumikishwa na kisha kuliwa ujira.Kwa ushauri tu ni kwamba,haki yako idai lakini kuwa makini kwani kumdai sana mwajiri atakuona wewe ni 'cock up' na hivyo unyenyekevu ndiyo silaha ya kuwa mtumwa mzuri.Ukiona unapwaya kwenye unyenyekevu basi jione huna maisha marefu kazini hivyo jipange.
Ukitaja kada wata connect dots tutasumbuana,kikubwa ujumbe uwafikie watulipe maisha yaendeUpo kada gani?
Umeandika pumba.Kuna watu wana zaidi ya miaka mitano wamekosa ajira. Kuna mmoja anauza miwa na mwingine ni mlinzi wa shule ya chekechea hapa jirani kwangu. Yeye eti analalamika amekosa sijui nini, PUMBAVU KABISA!
Na wewe akili kubwa umeandika hoja ya busara sana! Hongera!!!Umeandika pumba.
Ushauri mzuri nitaufanyia kaziHao watakuzungusha mkuu! Nenda ngazi za juu! Hiyo ni haki yako usikubali iishe kirahisi hivyo! Kama upo chini ya Tamisemi nenda kwa mamlaka za juu! Swala lako litashugulikiwa chap! Pesa ya kujikimu wengine wanapata wiki mbili baada ya kuingia kazini, na hata kama ni kuchelewa haitakiwi izidi miezi 6! Zaidi ya hapo umepigwa ( dont negotiate with robbers) chukua hatua!
Ndiyo nchi yetu kakaPole sana mkuu
Dogo tulia hela yako tumeitumia ila usiulize tumeitumiaje
Haina haja inabidi wenye kutakiwa kulipa ndiyo walipeSh ngapi kwani......sisi wafanya wafanyabiashara tukuchangi kijana mwenzetu
Ni sh ngapNi pesa unayotakiwa kulipwa baada ya kuajiriwa ili uweze kucover gharama za nauli kutoka ulipokuwepo hadi kituo cha kazi pia kuweza kukusaidia maisha pindi unapokuwa unasubiri mshahara
Kama milioni moja na point chache hvNi sh ngap