Mbona tunasikia huko kwenye Almashauri kuna mchwa balaa. Mpaka Leo hujapiga deal lolote kufidia Hela yako tu, acha kumchikonoa bosi. Tumia akili urudishe Hela yako kimyakimya maisha yaendeleee.
Mtumishi wewe ... are you verted? hii sio sehemu sahihi kuleta malalamiko yako. Unajiharibia. Futa uzi wako tafuta njia sahihi ya kuwasilisha malalamiko haya.