Nimedelete hiyo appNjoo Wozap.
Install niwe nakutumia mahubiri...Nimedelete hiyo app
Nimegundua ni mpango wa shetani...
[emoji252] [emoji479]
Sawa mtumishiInstall niwe nakutumia mahubiri...
unene sio mzuri.. Size yako ipo poaAcha nifutuke tu sitaki mimi
Jamani lol come closer am horny too [emoji23][emoji23][emoji23]Beebee....
Am horny... Acha niimbe....
Eewee njiwaa eewee njiiwaa.... Peleka salaamuu. Kwaa yuule kwaa yuule.... Mwekundu bebeez.
Pata kumbato la Kasie Mahaba.
Hadi wewe mkuu Kaboom pamoja na ukongwe wote hapa JF?Wengine tumekaa kilofa ..Miaka nane hujatongoza msichana hata mmoja..
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh..Sijawahi mkuu..Ngoja nianzeHadi wewe mkuu Kaboom pamoja na ukongwe wote hapa JF?
Mwe mwe mweeeeeh!!![emoji134] [emoji134] [emoji134]Wengine tumekaa kilofa ..Miaka nane hujatongoza msichana hata mmoja..
Sent using Jamii Forums mobile app
@heaven sent njoo shuhudia maajabu ya dunia.
Teh teh..Maajabu yapi tena..Hayo ya kukaa kilofa?@heaven sent njoo shuhudia maajabu ya dunia.
[emoji8] [emoji8] [emoji8]Mwe mwe mweeeeeh!!![emoji134] [emoji134] [emoji134]
Shikamooo!
Nimeokoka.
Nilikuwa nasubiriwa mimi tu, hivyo nafasi yangu ipo na haiwezi kujaa, inajazwa na mimi tu.
Mi simo. Hii thread hainihusu kabisaaa....Ndio hivyo nina mwaka wa 5 sasa JF am going to be legend ,nakumbuza enzi naanza kuingia JF nilikua na energy ,misuli etc kila Avatar inayovutia ikigonga gonga like,kuni comment au ku quote nilikua natambaa nayo sambamba [emoji23][emoji23] ,lakini haimaanishi kama nilikua nawapata hapana..ili mradi tu nikidhi ile haja ya kiume tabia kama ya kuku kijogoo..lazima aonekane anafukuza mitetea" .
Sometimes unakutana na washikaji wako wa "chama" unampa stories kumbe na yeye alishapita nae au mtu wa karibu yake hii inaitwa networking
Ama kweli enzi zinabadilika nakumbuka kuna ma brothermen wao style zao ili waonekane active na smart walikua wanatunga sana mashairi na kuanzisha stories sijui wako wapi siku hizi [emoji23], najua mnajijua ..
No offence
Good day Tchao
Basi mbinguni kutadamshi..Kama hadi ww utakwepo..Ila kule ni mwendo wa free P..Nahisi utakondaNilikuwa nasubiriwa mimi tu, hivyo nafasi yangu ipo na haiwezi kujaa, inajazwa na mimi tu.