[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Taratibu rafiki, mdogo mdogo ndio mwendo.
UmenisemaNdio. Sio wote hutongoza ujue, mnakuwa marafiki then kifuatacho itv mnajikuta shetani ashawapitia alafu ndio basi tena.
Ndivyo ulivyompata wifi?Umenisema
Si unajua ile sitaki nataka nayo ina raha yake rafiki?
naona umekaribisha maombi, tuanze kutuma CV zetu.Wacha we!!
[emoji102] [emoji102] [emoji102][emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Mkuu, labda nianzie kwako, maana sijawahi kabisa nakuapia.....[emoji12]Mmmmh!!! Wewe tena!!!!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kweliSi unajua ile sitaki nataka nayo ina raha yake rafiki?
MOTP ndio nini kutumbua majicho hivyo?
Hebu jaribu tuone basi.Mkuu, labda nianzie kwako, maana sijawahi kabisa nakuapia.....[emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio, nakukataa ila ukiacha kunitongoza nakununia. Kwahiyo usikate tamaa rafiki.
Rafiki mi tamaa sitakata maana naiona zawadi ya ushindi hapo mbeleniNdio, nakukataa ila ukiacha kunitongoza nakununia. Kwahiyo usikate tamaa rafiki.
Sasa je!! Rafiki si ndio huyu sasa, mungu anipe nini tena!!Rafiki mi tamaa sitakata maana naiona zawadi ya ushindi hapo mbeleni