Mwaka wa tatu sasa sijatongoza wadada wa MMU

Mwaka wa tatu sasa sijatongoza wadada wa MMU

Huyu mkweo kwa sakayo auntie ndio mana huwa tunasema tumerithi tabia yako ya kuwa na wabebez wengi
Sakayo nilimkuta na ex wangu, tangu hapo nikawanyooshea mikono nyie watu.

Ila auntie mie sina mbebe mwingine, labd atokee huyu tu.
 
Sakayo nilimkuta na ex wangu, tangu hapo nikawanyooshea mikono nyie watu.

Ila auntie mie sina mbebe mwingine, labd atokee huyu tu.
Hahhaha kwahiyo auntie tunaliwa kuku na vifaranga kweli vya kurithi vinazidi
 
Ndio hivyo nina mwaka wa 5 sasa JF am going to be legend ,nakumbuza enzi naanza kuingia JF nilikua na energy ,misuli etc kila Avatar inayovutia ikigonga gonga like,kuni comment au ku quote nilikua natambaa nayo sambamba [emoji23][emoji23] ,lakini haimaanishi kama nilikua nawapata hapana..ili mradi tu nikidhi ile haja ya kiume tabia kama ya kuku kijogoo..lazima aonekane anafukuza mitetea" .
Sometimes unakutana na washikaji wako wa "chama" unampa stories kumbe na yeye alishapita nae au mtu wa karibu yake hii inaitwa networking

Ama kweli enzi zinabadilika nakumbuka kuna ma brothermen wao style zao ili waonekane active na smart walikua wanatunga sana mashairi na kuanzisha stories sijui wako wapi siku hizi [emoji23], najua mnajijua ..

No offence
Good day Tchao
Hivi kweli humu kuna watu wanatongozana na kutafunana na hizi IDs feki?!!!
 
Back
Top Bottom