mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,253
- 22,843
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana auntie, dunia msongamano tunafumba macho tu.
Hivi kweli humu kuna watu wanatongozana na kutafunana na hizi IDs feki?!!!
Mhhh..... hii bahati ngoja niikimbie tu[emoji12]Mbona huanzi sasa?
Eeenh sakayo anakuja
Basi Mimi na wewe tunafanana maana na Mimi sitongozwi ovyo.😀😀😀
Unafikiri atakuja kutoa majibu basi, haji ng'ooo!
[emoji23] [emoji23] nimefurahi unampongeza kwa kutokutingozaEhe unacheka nini wewe!!!! 😀😀😀😀😀
Na yeye ni rafiki yangu.
Asante sana mkuu, maana tayari kunamtu alikua amesha anza kunisuta...tehteehh [emoji12] [emoji12]Hongera sana mkuu
Sijawahi kumuomba [emoji23] [emoji23]Rafiki usiniambie nae ulimuomba akakunyima!!!!
Ndio basi tena, mpe taarifa mwambie akazane sasa na wakikuyu hukohuko.
[emoji23] nitakusaidia kuandamana auntie.Auntie huyo simkubali awe anko wangu nitaandamana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]@shunie hawezi kunichanganya mtoto mdogo huyo.
Unaonea na mimi auntie?Hivi kweli ww ni auntie yetu jamani au tumesingiziwa
Shunie tuache tule mema ya nchi na espyAuntie huyo simkubali awe anko wangu nitaandamana