Mwaka wa Tisa huu, hivi limeshatokea tamasha maridadi la mziki kama lile la 'Tigo Kiboko Yao la mwaka 2014 pale viwanja vya Leaders'

Mwaka wa Tisa huu, hivi limeshatokea tamasha maridadi la mziki kama lile la 'Tigo Kiboko Yao la mwaka 2014 pale viwanja vya Leaders'

Naanto Mushi

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
6,236
Reaction score
15,677
Ndo lilikuwa tamasha pekee na la mwisho la mziki nililohudhuria mpaka na leo hii.

Liliandaliwa na Tigo kama sijakosea mwaka 2014 pale viwanja vya leaders kinondoni.

Hili tamasha lilikuwa na malegendary wote wa mzingi wa bongo na walikuwa kwenye ubora wao.

Na ninalikumbuka kama tamasha bora la mziki maana wote waliperform kwenye stage

Diamond Platnumz
Ali Kiba
Jux
Vanessa Mdee
Profesa J
Feruzi
Khadija Kopa

Embu nikumbusheni na wengine..

Dj Mafuvu alikuwa hatari sana... ule usiku nili enjoy sana maana show ilimalizwa na Daimond Platnumz na akamwaga helaaa... Aiseee..

Hivi ilishatokea show nzuri kama hii? Kwa wingi wa wasanii wakiwa kwenye ubora wao?
 
Na ninalikumbuka kama tamasha bora la mziki maana wote waliperform kwenye stage
Ongezea na Davido lakini mwenye show alikuwa huyu hapa:
TI
a9deb65a0a44e713588e7f00f583386a.jpg
 
ile fiest psquare wanakuja bongo ...moja Kati ya tamasha ambalo halijawahi kutokea ..
 
Back
Top Bottom