Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
Ndo lilikuwa tamasha pekee na la mwisho la mziki nililohudhuria mpaka na leo hii.
Liliandaliwa na Tigo kama sijakosea mwaka 2014 pale viwanja vya leaders kinondoni.
Hili tamasha lilikuwa na malegendary wote wa mzingi wa bongo na walikuwa kwenye ubora wao.
Na ninalikumbuka kama tamasha bora la mziki maana wote waliperform kwenye stage
Diamond Platnumz
Ali Kiba
Jux
Vanessa Mdee
Profesa J
Feruzi
Khadija Kopa
Embu nikumbusheni na wengine..
Dj Mafuvu alikuwa hatari sana... ule usiku nili enjoy sana maana show ilimalizwa na Daimond Platnumz na akamwaga helaaa... Aiseee..
Hivi ilishatokea show nzuri kama hii? Kwa wingi wa wasanii wakiwa kwenye ubora wao?