Mwakalebela: Simba haitamaliza top 4 msimu huu

Hawajui kuwa no ni wakati wa PIRA PESA
 
Uyo hata injinia amuweki karibu kwasababu ni mzigo tu hana alijualo zaidi ya kufuga ndambi na kulilia kiporo cha wali cha watoto nyumbani kwake.
Hapana mkuu.....kuwa makamu mwenyekiti sio kitoto
 
Hili jamaa lina cheo kizito ila hana mamlaka.Niliona mechi ya Yanga na Azam pale taifa wale walinzi wa getini wamemzuia kuingiza watu wake V.I.P.Jasho lilikuwa linammwagika hadi huruma.
 
Hili jamaa lina cheo kizito ila hana mamlaka.Niliona mechi ya Yanga na Azam pale taifa wale walinzi wa getini wamemzuia kuingiza watu wake V.I.P.Jasho lilikuwa linammwagika hadi huruma.
Angekuwa babra ...angezila
 
Ila kiongozi kuongea maneno kama hayo ni kukosa weledi. Ni kama vile kupanga matokeo. Hilo ni kosa kubwa sana kwenye mchezo wa mpira wa miguu, viongozi wajitambue kuna maneno ya kuongea mashabiki na kuna maneno ya kuongea kiongozi
namini kwenye ile list ya msukule watu wenye akili utopoloni na wewe uongezwe kutoka mzee kikwete na mzee manara pia uafuatie na wewe waliobaki wote na mleta mada hawana akili
 
Ndilo tatizo la kujamba akili . Hili jitu na ukubwa wa tumbo lote hilo kumbe kichwani ni 0 kabisa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…