Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waulize mufurila ya zambia waulize caf kuhusu hiyo rekodi watakuambiaChukua hii mwanasokaView attachment 2360263
Mbona juzi tu? Siku stars walipocheza na Uganda, Simba ikainamishwa Kwa Mkapa asubuhi tu.Mwaka gan mkuu.....tukumbushe kdg[emoji23][emoji23]
Yaan ww na 89kg wote MAPIMBISalaaam Wana JF
Kutoka kwa kiongozi mmoja m,bobezi wa soka mwakalebela akiojiwa na media fulani amekiri kuwa Kama Simba ( kolo) ingecheza na Zalan Basi wangeambulia kichapo heavyweight
Sababu mechi za yanga zinaamuliwa na quality players ambao ndugu zetu simba hawana ......wanawachezaji wa kuunga unga Kama kina BOCCO, kibu, mzunguuuuuu etc.
Je unadhani kiongozi huyu yupo sahihi.....kwenu studio??View attachment 2360261
Kuna mpira huwa unakuwa haukaingia uwanjani, uliingizwa tu huo kosa.Mkuu....kwann yanga kipind cha pili inakuwa [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]???
Let people mark these words.Achana nalo jinga hilo, Simba ndio wenye timu mbovu huenda wasiingie makundi.
Time will tellLet people mark these words.
Soka la Simba bado halijanishawishi pia kuwa kuna heri huko hatua inayofuata. Labda kwa kocha wa sasa Juma Mgunda ninaiman nae kidogo hasa kama hawatamzingua na akafanya kazi yake kwa uhuru na moyo wa dhati. Hata mdhungu leo angalau dakika chache alizocheza nimeona kumbe hakuwa na kocha mzuri tu, nusura apeleke maangamizi uaduini.
Huyu mpuuzi akishafakamia mataputapu domo lake linaharisha tu kama kama la zeruzeruSalaaam Wana JF
Kutoka kwa kiongozi mmoja m,bobezi wa soka mwakalebela akiojiwa na media fulani amekiri kuwa Kama Simba ( kolo) ingecheza na Zalan Basi wangeambulia kichapo heavyweight
Sababu mechi za yanga zinaamuliwa na quality players ambao ndugu zetu simba hawana ......wanawachezaji wa kuunga unga Kama kina BOCCO, kibu, mzunguuuuuu etc.
Je unadhani kiongozi huyu yupo sahihi.....kwenu studio??View attachment 2360261
Anaishi na watu[emoji23][emoji23]Huyu mpuuzi akishafakamia mataputapu domo lake linaharisha tu kama kama la zeruzeruView attachment 2361313
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Tunaupigaga mwingi baada ya kuwasoma.Mkuu....kwann yanga kipind cha pili inakuwa [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]???
Mwaka 1998 Yanga alifungwa 6 kwa buyu na Raja ya Morocco! Hii rekodi bado kuvunjwa.Yanga tunavunja rekodi zote za Simba CAF!
Mayele ni mchezaji pekee wa Afrika ambae anaogopwa na mashabiki wa timu pinzani , anaogopwa sana na Mzee Onyango, Braza Inonga na hata mashabiki wa Yanga yake mwenyewe. Kijana huyu amevunja rekodi zote Afrika na duniani kwa kupiga hat-trick mbili mfululizo kwenye michuano mikubwa ya kimataifa.
Mchezaji wa mwisho kupiga hat trick kama hizo kwenye mashindano ya CAF ni Vasco da Gama akitumia assist za David Livingstone na Barabara mnamo mwaka 1498 huko Afrika kusini! Takriban miaka elfu 20 iliyopita!
Yanga mbele kwa mbele hadi tubebe ndoo ya CAF na kunyamazisha kabisa ngebe za Makolo FC!
Yanga tamu asikwambie mtu na inakera haswa kwasasa! possession 90% kwa 10%.
Lete wajinga wote tunakata na kufunua tu hakuna huruma! Lete Makolo, lete PSG , Lete Man City, lete Mandonga, lete Kiduku, lete Makinyo , lete Brazil si tunaua tu. Tumeanza kuzoea fataki za kubeba makombe!
Nani kama Prof Nabi aka Ferguson!!
Simba kitu pekee walichobaki nacho kwasasa ni MATUSI tu mpira umeenda kwao Brazil!
kocha alikuwa Prof Nabi aka Ferguson?Mwaka 1998 Yanga alifungwa 6 kwa buyu na Raja ya Morocco! Hii rekodi bado kuvunjwa.
😀😀kocha alikuwa Prof Nabi aka Ferguson?
Time will tell