Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,757
Ameejaaliwa trakkk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asee sipati picha kwa tambo hizi, Mara paa, Yanga nje ya makundi.... sijui watasemaje! Anyway, nawaombea watinge hatua ya Makundun
Unawaombea..maombi yako inabidi yaendane na uwezo wao ambao siouni kwa huko mbele..Zalan wachoma mkaa wale wamewapumbaza sana.Asee sipati picha kwa tambo hizi, Mara paa, Yanga nje ya makundi.... sijui watasemaje! Anyway, nawaombea watinge hatua ya Makundi!
On way .....kwa mwendo huu huoni Kama yanga wanaenda fainal kabsaaHizi rekodi CAF haizitambui, ndio maana hata magoli ya waliyofunga yanaishia raundi hii. Kwa ufupi ni rekodi ambazo hazijawahi kuwapo. Rekodi zilizopo CAF ni makundi, robo fainali, fainali na ubingwa. Ukitaka kufikia rekodi, basi uzifikie hizi
Umesahau .....akili Kama messAmeejaaliwa trakkk View attachment 2360464
Lkn ametoa fact zakeNajiuliza kwann enzi ya utawaka wa Tenga kwanini haukuwa na mafanikio makubwa tofaut na Wa sasa
Tatizo lilikuwa hawa viongozi aina ya mwakalebela muda wote anaongea pumba tu ,sasa atawaza nini maendeleo ya mpira
Huyu mwaka hafai kuwa hata balozi wa nyumba kumi ,abaonekana ana majungu sana