Mwakalebela: Simba ingefungwa na Zalan fc

Ameejaaliwa trakkk
IMG-20220918-WA0265.jpg
 
Asee sipati picha kwa tambo hizi, Mara paa, Yanga nje ya makundi.... sijui watasemaje! Anyway, nawaombea watinge hatua ya Makundun

Asee sipati picha kwa tambo hizi, Mara paa, Yanga nje ya makundi.... sijui watasemaje! Anyway, nawaombea watinge hatua ya Makundi!
Unawaombea..maombi yako inabidi yaendane na uwezo wao ambao siouni kwa huko mbele..Zalan wachoma mkaa wale wamewapumbaza sana.
 
Najiuliza kwann enzi ya utawaka wa Tenga kwanini haukuwa na mafanikio makubwa tofaut na Wa sasa

Tatizo lilikuwa hawa viongozi aina ya mwakalebela muda wote anaongea pumba tu ,sasa atawaza nini maendeleo ya mpira

Huyu mwaka hafai kuwa hata balozi wa nyumba kumi ,abaonekana ana majungu sana
 
Kama Simba ilifungwa na AS Atra ya Djibouti kwanini isifungwe na Zarani, Mwakalebela hayuko mbali na ukweli.
 
Mkuu...ingekua vizr kuwaombea wachukue kombe kabsa
 
It takes a lot of things kuingia makundi, haufiki kule kwasababu tu unataka kufika.

Yanga haiingii hatua ya makundi, si CAFCL tu bali hala CAFCC.
Kwann mkuu....tupe dondoo
 
Hizi rekodi CAF haizitambui, ndio maana hata magoli ya waliyofunga yanaishia raundi hii. Kwa ufupi ni rekodi ambazo hazijawahi kuwapo. Rekodi zilizopo CAF ni makundi, robo fainali, fainali na ubingwa. Ukitaka kufikia rekodi, basi uzifikie hizi
On way .....kwa mwendo huu huoni Kama yanga wanaenda fainal kabsaa
 
Unawaombea..maombi yako inabidi yaendane na uwezo wao ambao siouni kwa huko mbele..Zalan wachoma mkaa wale wamewapumbaza sana.
Ukiona timu ipo club bingwa ujue inajiweza...
 
Najiuliza kwann enzi ya utawaka wa Tenga kwanini haukuwa na mafanikio makubwa tofaut na Wa sasa

Tatizo lilikuwa hawa viongozi aina ya mwakalebela muda wote anaongea pumba tu ,sasa atawaza nini maendeleo ya mpira

Huyu mwaka hafai kuwa hata balozi wa nyumba kumi ,abaonekana ana majungu sana
Lkn ametoa fact zake
 
Kama Simba ilifungwa na AS Atra ya Djibouti kwanini isifungwe na Zarani, Mwakalebela hayuko mbali na ukweli.
Mwaka gan mkuu.....tukumbushe kdg[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom