Mwakalebela: Simba ingefungwa na Zalan fc

Yaan ww na 89kg wote MAPIMBI
 
Achana nalo jinga hilo, Simba ndio wenye timu mbovu huenda wasiingie makundi.
Let people mark these words.
Soka la Simba bado halijanishawishi pia kuwa kuna heri huko hatua inayofuata. Labda kwa kocha wa sasa Juma Mgunda ninaiman nae kidogo hasa kama hawatamzingua na akafanya kazi yake kwa uhuru na moyo wa dhati. Hata mdhungu leo angalau dakika chache alizocheza nimeona kumbe hakuwa na kocha mzuri tu, nusura apeleke maangamizi uaduini.
 
Time will tell
 
Huyu mpuuzi akishafakamia mataputapu domo lake linaharisha tu kama kama la zeruzeru

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Mwaka 1998 Yanga alifungwa 6 kwa buyu na Raja ya Morocco! Hii rekodi bado kuvunjwa.
 
Mwaka 1998 Yanga alifungwa 6 kwa buyu na Raja ya Morocco! Hii rekodi bado kuvunjwa.
Pia mwaka 2016 yanga aliifunga ngaya fc ya Madagascar 6 ---0 pia rekodi hii ngaya fc hawajaivunja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…