GE2025 Mwakibete ajinadi kutetea kiti cha ubunge kwa awamu nyingine

GE2025 Mwakibete ajinadi kutetea kiti cha ubunge kwa awamu nyingine

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
3,119
Reaction score
1,430
Mbunge Atupele Fredy Mwakibete na watia nia wengine wameanza Kampeni za Kujitambulisha na Kujinadi mbele ya Wanachama wa Chama cha Mapinduzi katika Kata Mbalimbali Jimboni Busokelo.

Akijinadi Mbele ya Wanachama wa Kata za Lwangwa na Kabula,Mwakibete amesema kuwa maendeleo yaliyofanyika Jimboni Busokelo kwa kushirikiana na Wananchi ni chachu ya kuelekea katika awamu ijayo kwani tayari msingi upo na yaliyofanyika yanaonekana kwa macho.

Mwakibete amewaomba kura zote wajumbe wa Kata za Lwangwa na Kabula siku ya Tarehe 04/08/2025 katika uchaguzi wa Kura za Maoni.

 
Back
Top Bottom