Mwakinyo agomea kupanda ulingoni

Mashabiki wangemlaumu yeye kwakutokupanda ulingoni,na hata Azam pia wangemlaumu,hivyo ni bora alivyoweka wazi,ili mwanya wa matapeli,uzibwe,kwani ingekua rahisi watu kununua tiketi,halafu kumbe pambano halipo.Tafakari sana.
Huyu anaenda kupotea mazima, kwani si wangeongea ndani? Mpaka huku?
 
Mi nliacha mchezo wa boxing kwasababu nliona naenda kuwa punda wa watu kuna watu wanataka wale kilaini kupitia maumivu yako.

ila hiyo boxing nilikua nacheza kwenye simu game za playstore
 
Huyu anaenda kupotea mazima, kwani si wangeongea ndani? Mpaka huku?
Ngumi za kulipwa sio kazi ya bodaboda kwamba wacha niende tutaelewana baadae, wacha niende ni karibu pale mbona huwa nampeleka mbali ananilipa, kule mjini nitapata mteja wa kurudi nae.

Weka pesa apande ulingoni. Angeongea na kina nani na wameshafeli kwenye makubaliano na promoters? Uko ndani waongee nini ambacho hawakuwa wameongea.
Hapa anataarifu mashabiki zake na tasnia ya ngumi.
 
Sio kweli, huyo aliyeletewa ni mnamibia na alishawahi mpiga!! Tatizo ni promota, kwenye maokoto
Ok! Yule mnamibia namkumbuka, kama umri umeenda hivi ukilinganisha na kazi anayoifanya
 
Kwahiyo hao wengine wanazulumiwaga na mapromota na wasiseme.
 
shida ya huyu dogo ni kiburi na kujiona amefika na mambo ya pwani. angekuwa mdada huyu angekuwa anaimba taarabu.
 
but he is not that good, anahitaji bado kujijenga hata kwa kula hasara kidogo. anaona kama ameshafika kileleni.
 
Ndio kilichotokea? Itakuwa kaletewa mkali sana kaona ntadedi bure
Mkali wapi wakati aliyeletewa alishampiga kwa KO?

Bondia siku zote huwa anajiandaa na bondia mpinzani wake anayepanda naye ulingoni!

Aina ya mazoezi atakayofanya, mbinu za kupigana naye kuangalia udhaifu na uimara wa mpinzani wako upo kwenye nini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…