Mwakinyo agomea kupanda ulingoni

Mwakinyo agomea kupanda ulingoni

Mashabiki wangemlaumu yeye kwakutokupanda ulingoni,na hata Azam pia wangemlaumu,hivyo ni bora alivyoweka wazi,ili mwanya wa matapeli,uzibwe,kwani ingekua rahisi watu kununua tiketi,halafu kumbe pambano halipo.Tafakari sana.
Huyu anaenda kupotea mazima, kwani si wangeongea ndani? Mpaka huku?
 
Mi nliacha mchezo wa boxing kwasababu nliona naenda kuwa punda wa watu kuna watu wanataka wale kilaini kupitia maumivu yako.

ila hiyo boxing nilikua nacheza kwenye simu game za playstore
 
Huyu anaenda kupotea mazima, kwani si wangeongea ndani? Mpaka huku?
Ngumi za kulipwa sio kazi ya bodaboda kwamba wacha niende tutaelewana baadae, wacha niende ni karibu pale mbona huwa nampeleka mbali ananilipa, kule mjini nitapata mteja wa kurudi nae.

Weka pesa apande ulingoni. Angeongea na kina nani na wameshafeli kwenye makubaliano na promoters? Uko ndani waongee nini ambacho hawakuwa wameongea.
Hapa anataarifu mashabiki zake na tasnia ya ngumi.
 
Kwahiyo hao wengine wanazulumiwaga na mapromota na wasiseme.
 
Bondia Hassan Mwakinyo amesema kesho hatapanda Ulingoni kupigana dhidi ya Bondia Julius Indonga kwenye pambano la kuwania mkanda wa IBA International. Amesema hatapigana kutogana na Uwongo na Udanganyifu wa Ma Promota.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika kuwa "Binafsi!! Napenda sana Kushukuru M/mungu kwa uzima na Afya nilio nayo Leo” pia niwashukuru sana washabiki zangu kwa kujitokeza kwa Nguvu kuonyesha shauku ya kuni support nawashukuru sana AZAM TV kwa kuendelea kutoa nafasi!! Kwetu kama wachezaji wa ndani naomba niweke hisia zangu wazi kwa mashabiki ya kuwa kesho sitaweza kupanda ulingoni kutokana na uwongo na udanganyifu, wa ma promota binafsi sina tatizo na Mtu ila pia naheshimu sana kazi yangu na siko tayari kuona watu wana nijaribu au kutaka kuarbu jina langu Azam nia na dhamira yenu ni njema sana kwenye mchezo wa ngumi na kwa nidhamu ya juu kabisa maamuzi ya hili kuendelea yako mikononi kwenu hapa tulipofkia nyinyi binafsi ndio mnaweza kutatua hii changamoto na Muda ni Leo tu …
shida ya huyu dogo ni kiburi na kujiona amefika na mambo ya pwani. angekuwa mdada huyu angekuwa anaimba taarabu.
 
Kama wanamichezo wangekua wanajielewa kama hyu jamaa ...tasnia na professional mbalimbali zingekua mbali Sana...

Nice work brother ...simamia maslahi yako na usikubali kupelekwa Kama mzigo ...



Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
but he is not that good, anahitaji bado kujijenga hata kwa kula hasara kidogo. anaona kama ameshafika kileleni.
 
Ndio kilichotokea? Itakuwa kaletewa mkali sana kaona ntadedi bure
Mkali wapi wakati aliyeletewa alishampiga kwa KO?

Bondia siku zote huwa anajiandaa na bondia mpinzani wake anayepanda naye ulingoni!

Aina ya mazoezi atakayofanya, mbinu za kupigana naye kuangalia udhaifu na uimara wa mpinzani wako upo kwenye nini!
 
Back
Top Bottom