Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
jina bado sana, hata lile pambano lake la uingereza lile la awali, watu wengi walikuwa na hofu sana juu ya usalama wake, kwasababu walisema the way anaingia na kutoka ni rahisi sana kuja kupigwa KO mbaya itakayomfanya asicheze tena, ni mrahisi sana huyo dogo bado anahitaji training ya hali ya juu. kwa pesa ile alipata uingereza kwa kuuza mechi, angeitumia kula vizuri, kufanya mazoezi vizuri ili awe bora apate pesa zingine.Kama jina tayari kashalipata hapo ni anazingatia maokoto tu