Mwakinyo agomea kupanda ulingoni

Mwakinyo agomea kupanda ulingoni

Kama jina tayari kashalipata hapo ni anazingatia maokoto tu
jina bado sana, hata lile pambano lake la uingereza lile la awali, watu wengi walikuwa na hofu sana juu ya usalama wake, kwasababu walisema the way anaingia na kutoka ni rahisi sana kuja kupigwa KO mbaya itakayomfanya asicheze tena, ni mrahisi sana huyo dogo bado anahitaji training ya hali ya juu. kwa pesa ile alipata uingereza kwa kuuza mechi, angeitumia kula vizuri, kufanya mazoezi vizuri ili awe bora apate pesa zingine.
 
H

Huo ni mtazamo wako
 
Sijaona aliposema hivyo.
Ila kama ni kweli yupo sahihi, ngumi mchezo wa hatari, pesa lazima izingatiwe
au si ukute ameogopa kichapo, aliletewa galasa awali, kushtuka wamembadilishia mtu wa vitasa balaa, nani anataka aibu hiyo? si anaenda tu youtube anamtazamaa weee anaona huyu apana, sina uwezo kupigana naye atanidunda. amekimbia kupigwa dogo.
 
Maokoto boss
 
Niseme tu huna akili unazan ndondi nirede
 
jina bado sana, hata lile pambano lake la uingereza lile la awali, watu wengi walikuwa na hofu sana juu ya usalama wake, kwasababu walisema the way anaingia na kutoka ni rahisi sana kuja kupigwa KO mbaya itakayomfanya asicheze tena, ni mrahisi sana huyo dogo bado anahitaji training ya hali ya juu. kwa pesa ile alipata uingereza kwa kuuza mechi, angeitumia kula vizuri, kufanya mazoezi vizuri ili awe bora apate pesa zingine.
Umepuyanga hapa mkuu.
 
Tena jamaa kaamua kuwa fair ila ulaya ,unashtakiwa kwa kumpotezea muda bondia,so utalipia gharama zake za maandalizi na muda wake kwa kumbadilishia bondia siku moja kabla ya pambano.

Ktk hili jamaa yupo sawa na ameonyesha ukomavu .
 
au si ukute ameogopa kichapo, aliletewa galasa awali, kushtuka wamembadilishia mtu wa vitasa balaa, nani anataka aibu hiyo? si anaenda tu youtube anamtazamaa weee anaona huyu apana, sina uwezo kupigana naye atanidunda. amekimbia kupigwa dogo.
Unaongea upuuzi mtupu, heri ungekaa kimya.
 
jina bado sana, hata lile pambano lake la uingereza lile la awali, watu wengi walikuwa na hofu sana juu ya usalama wake, kwasababu walisema the way anaingia na kutoka ni rahisi sana kuja kupigwa KO mbaya itakayomfanya asicheze tena, ni mrahisi sana huyo dogo bado anahitaji training ya hali ya juu. kwa pesa ile alipata uingereza kwa kuuza mechi, angeitumia kula vizuri, kufanya mazoezi vizuri ili awe bora apate pesa zingine.
Sasa kama mrahisi alikulaje tena hela , c hakuna haja ya hongo anapigika kirahisi TKO
 
Mwakinyo ndio anaishia hivyo. Kupotea kwa bondia kunaanzaga polepole.
 
Back
Top Bottom