Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
jina bado sana, hata lile pambano lake la uingereza lile la awali, watu wengi walikuwa na hofu sana juu ya usalama wake, kwasababu walisema the way anaingia na kutoka ni rahisi sana kuja kupigwa KO mbaya itakayomfanya asicheze tena, ni mrahisi sana huyo dogo bado anahitaji training ya hali ya juu. kwa pesa ile alipata uingereza kwa kuuza mechi, angeitumia kula vizuri, kufanya mazoezi vizuri ili awe bora apate pesa zingine.Kama jina tayari kashalipata hapo ni anazingatia maokoto tu
Yap ..kabadilishiwa bondia kwani
Huo ni mtazamo wakojina bado sana, hata lile pambano lake la uingereza lile la awali, watu wengi walikuwa na hofu sana juu ya usalama wake, kwasababu walisema the way anaingia na kutoka ni rahisi sana kuja kupigwa KO mbaya itakayomfanya asicheze tena, ni mrahisi sana huyo dogo bado anahitaji training ya hali ya juu. kwa pesa ile alipata uingereza kwa kuuza mechi, angeitumia kula vizuri, kufanya mazoezi vizuri ili awe bora apate pesa zingine.
Sijaona aliposema hivyo.Promoter anataka kupita na maokoto yote alafu jamaa akapigane km anapigana kichangani wakati ni professional international boxer
ni mtazamo wangu ndio, we ulifikiri ni mtazamo wa nani sasa aliyeandika, si mimi?H
Huo ni mtazamo wako
au si ukute ameogopa kichapo, aliletewa galasa awali, kushtuka wamembadilishia mtu wa vitasa balaa, nani anataka aibu hiyo? si anaenda tu youtube anamtazamaa weee anaona huyu apana, sina uwezo kupigana naye atanidunda. amekimbia kupigwa dogo.Sijaona aliposema hivyo.
Ila kama ni kweli yupo sahihi, ngumi mchezo wa hatari, pesa lazima izingatiwe
Maokoto bossau si ukute ameogopa kichapo, aliletewa galasa awali, kushtuka wamembadilishia mtu wa vitasa balaa, nani anataka aibu hiyo? si anaenda tu youtube anamtazamaa weee anaona huyu apana, sina uwezo kupigana naye atanidunda. amekimbia kupigwa dogo.
Ndio...kabadilishiwa bondia kwani
Ana miaka 40 Kwa sasa katoka kuchezea kichapo Mwezi wa Tano na m RussiaOk! Yule mnamibia namkumbuka, kama umri umeenda hivi ukilinganisha na kazi anayoifanya
Kila siku wanampiga yeye tuAna miaka 40 Kwa sasa katoka kuchezea kichapo Mwezi wa Tano na m Russia
Niseme tu huna akili unazan ndondi niredeau si ukute ameogopa kichapo, aliletewa galasa awali, kushtuka wamembadilishia mtu wa vitasa balaa, nani anataka aibu hiyo? si anaenda tu youtube anamtazamaa weee anaona huyu apana, sina uwezo kupigana naye atanidunda. amekimbia kupigwa dogo.
Umepuyanga hapa mkuu.jina bado sana, hata lile pambano lake la uingereza lile la awali, watu wengi walikuwa na hofu sana juu ya usalama wake, kwasababu walisema the way anaingia na kutoka ni rahisi sana kuja kupigwa KO mbaya itakayomfanya asicheze tena, ni mrahisi sana huyo dogo bado anahitaji training ya hali ya juu. kwa pesa ile alipata uingereza kwa kuuza mechi, angeitumia kula vizuri, kufanya mazoezi vizuri ili awe bora apate pesa zingine.
Sasa hapo tatizo lake ni nini?shida ya huyu dogo ni kiburi na kujiona amefika na mambo ya pwani. angekuwa mdada huyu angekuwa anaimba taarabu.
Unaongea upuuzi mtupu, heri ungekaa kimya.au si ukute ameogopa kichapo, aliletewa galasa awali, kushtuka wamembadilishia mtu wa vitasa balaa, nani anataka aibu hiyo? si anaenda tu youtube anamtazamaa weee anaona huyu apana, sina uwezo kupigana naye atanidunda. amekimbia kupigwa dogo.
Hakika HANA akili, anaongea utafikiri amekatwa kichwa.Niseme tu huna akili unazan ndondi nirede
Sasa kama mrahisi alikulaje tena hela , c hakuna haja ya hongo anapigika kirahisi TKOjina bado sana, hata lile pambano lake la uingereza lile la awali, watu wengi walikuwa na hofu sana juu ya usalama wake, kwasababu walisema the way anaingia na kutoka ni rahisi sana kuja kupigwa KO mbaya itakayomfanya asicheze tena, ni mrahisi sana huyo dogo bado anahitaji training ya hali ya juu. kwa pesa ile alipata uingereza kwa kuuza mechi, angeitumia kula vizuri, kufanya mazoezi vizuri ili awe bora apate pesa zingine.
Issue sio hela nmesikiliza interview kuna watu hataki wapande uliongoni kwenye mapambano ya utanguliziNamuunga mkono. Wampe pesa kwanza.