Tipstipstor
JF-Expert Member
- Nov 29, 2021
- 1,528
- 3,352
Eti yupo Cyprus bado hata hajabadilika mtazamo???Bongo tunachoweza ni unafki na majungu tu
Hata mwandiko wako una unakusaliti kuwa una stress za tozoBila ya salamu
Habari za chinichini ni kuwa bondia Hassan Mwakinyo ,alivua mkwanja mrefu kutoka kwa kambi ya Liam Smith ili auze pambano lake ktk hali ya kushangaza na kustaajabisha kabisa kwa ku-fake majeraha ya kifundo cha mguu. Mwakinyo amelipa fadhila kwa Liam kwa kitendo chake cha kumkubalia kupambana nae ili kimsaidie kumvushia jina lake kimataifa zaidi huku yeye Liam akinufaika na ushindi huu ambao unakwenda kumpa nafasi ya kugombania ubingwa wa dunia.
Asante mwakinyo kwa kutulaza saa 7 za usiku maana nilikaa macho katika jiji la Larnaca hapa cyprus nikifuatilia pambano hili
Kuna wengine hasira za kubeti waliweka mkwanja mkubwa kwa Mwakinyo..Hata mwandiko wako una unakusaliti kuwa una stress za tozo
Kuna wengine hasira za kubeti waliweka mkwanja mkubwa kwa Mwakinyo..
Hilo halihitaji hata uwe mtaalam wa biashara halamu,maana wanafahamiana na amewahi fanya naye mazoeziBila ya salamu
Habari za chinichini ni kuwa bondia Hassan Mwakinyo ,alivua mkwanja mrefu kutoka kwa kambi ya Liam Smith ili auze pambano lake ktk hali ya kushangaza na kustaajabisha kabisa kwa ku-fake majeraha ya kifundo cha mguu. Mwakinyo amelipa fadhila kwa Liam kwa kitendo chake cha kumkubalia kupambana nae ili kimsaidie kumvushia jina lake kimataifa zaidi huku yeye Liam akinufaika na ushindi huu ambao unakwenda kumpa nafasi ya kugombania ubingwa wa dunia.
Asante mwakinyo kwa kutulaza saa 7 za usiku maana nilikaa macho katika jiji la Larnaca hapa cyprus nikifuatilia pambano hili
Nikweli ni sehemu ya maisha Bongo,ila hizi sababu kama unaakili timamu unazielewa? Mwanao akikujia na sababu kama hizi unaweza kumuelewa?Bongo tunachoweza ni unafki na majungu tu
Bondia huwa anauzaje pambano? Maana before nilisikia mwakinyo hata akipigwa alikuwa analamba dola 100,000,naomba ufafanuzi mkuu nijue wanauzaje mapambano na wananufaika vipi?wewe umeona upuuzi alioufanya mwakinyo jana au unaongea tu?
Hata Kama hajauza mechi.nani atamuamini?
yaani mtu anainama chini mwenyewe.mwenzie anakuja kummalizia,alafu kwenye video anatoa ufafanuzi huku anacheka.yaani yupo huru kabisa, haumii kupoteza pambano
AmebetBondia huwa anauzaje pambano? Maana before nilisikia mwakinyo hata akipigwa alikuwa analamba dola 100,000,naomba ufafanuzi mkuu nijue wanauzaje mapambano na wananufaika vipi?