Mwakinyo aliuza mechi kwa kambi ya Liam Smith

Mwakinyo aliuza mechi kwa kambi ya Liam Smith

Tipstipstor

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2021
Posts
1,528
Reaction score
3,352
Bila ya salamu
Habari za chinichini ni kuwa bondia Hassan Mwakinyo ,alivua mkwanja mrefu kutoka kwa kambi ya Liam Smith ili auze pambano lake ktk hali ya kushangaza na kustaajabisha kabisa kwa ku-fake majeraha ya kifundo cha mguu

Mwakinyo amelipa fadhila kwa Liam kwa kitendo chake cha kumkubalia kupambana nae ili kimsaidie kumvushia jina lake kimataifa zaidi huku yeye Liam akinufaika na ushindi huu ambao unakwenda kumpa nafasi ya kugombania ubingwa wa dunia.

Asante mwakinyo kwa kutulaza saa 7 za usiku maana nilikaa macho katika Jiji la Larnaca hapa Cyprus nikifuatilia pambano hili.
 
Bila ya salamu
Habari za chinichini ni kuwa bondia Hassan Mwakinyo ,alivua mkwanja mrefu kutoka kwa kambi ya Liam Smith ili auze pambano lake ktk hali ya kushangaza na kustaajabisha kabisa kwa ku-fake majeraha ya kifundo cha mguu. Mwakinyo amelipa fadhila kwa Liam kwa kitendo chake cha kumkubalia kupambana nae ili kimsaidie kumvushia jina lake kimataifa zaidi huku yeye Liam akinufaika na ushindi huu ambao unakwenda kumpa nafasi ya kugombania ubingwa wa dunia.

Asante mwakinyo kwa kutulaza saa 7 za usiku maana nilikaa macho katika jiji la Larnaca hapa cyprus nikifuatilia pambano hili
Hata mwandiko wako una unakusaliti kuwa una stress za tozo
 
Kapigwa uyo hizo bra bra bra apeleke uko ndio maana siye tunamtaka mandonga kazi kazi
 
wewe umeona upuuzi alioufanya mwakinyo jana au unaongea tu?
Hata Kama hajauza mechi.nani atamuamini?
yaani mtu anainama chini mwenyewe.mwenzie anakuja kummalizia,alafu kwenye video anatoa ufafanuzi huku anacheka.yaani yupo huru kabisa, haumii kupoteza pambano
Kuna wengine hasira za kubeti waliweka mkwanja mkubwa kwa Mwakinyo..
 
Katika sehemu ambazo Boxers wako vizuri ni miguu, Ata iyo ngumi Ili iwe Kali na ya maana Ina anzia miguuni.
Kilichotokea Jana ni upuuzi wa Makyinyo ki ufupi ameuza mechi kwasababu anazo zifahamu yeye hakuna namna yoyote ya kutumia mguu ni mambo ya kipuuzi na ukosefu wa maadili.
 
Bila ya salamu
Habari za chinichini ni kuwa bondia Hassan Mwakinyo ,alivua mkwanja mrefu kutoka kwa kambi ya Liam Smith ili auze pambano lake ktk hali ya kushangaza na kustaajabisha kabisa kwa ku-fake majeraha ya kifundo cha mguu. Mwakinyo amelipa fadhila kwa Liam kwa kitendo chake cha kumkubalia kupambana nae ili kimsaidie kumvushia jina lake kimataifa zaidi huku yeye Liam akinufaika na ushindi huu ambao unakwenda kumpa nafasi ya kugombania ubingwa wa dunia.

Asante mwakinyo kwa kutulaza saa 7 za usiku maana nilikaa macho katika jiji la Larnaca hapa cyprus nikifuatilia pambano hili
Hilo halihitaji hata uwe mtaalam wa biashara halamu,maana wanafahamiana na amewahi fanya naye mazoezi
 
Analalamika begi lake lenye viatu liliibiwa Airport akapewa viatu vinavyobana na kushtua ankle.

Anaanza sound kama Mzee wa Buga kugoma kupiga show
 
Bongo tunachoweza ni unafki na majungu tu
Nikweli ni sehemu ya maisha Bongo,ila hizi sababu kama unaakili timamu unazielewa? Mwanao akikujia na sababu kama hizi unaweza kumuelewa?
 
Tupumzike kidogo 🤣
 
wewe umeona upuuzi alioufanya mwakinyo jana au unaongea tu?
Hata Kama hajauza mechi.nani atamuamini?
yaani mtu anainama chini mwenyewe.mwenzie anakuja kummalizia,alafu kwenye video anatoa ufafanuzi huku anacheka.yaani yupo huru kabisa, haumii kupoteza pambano
Bondia huwa anauzaje pambano? Maana before nilisikia mwakinyo hata akipigwa alikuwa analamba dola 100,000,naomba ufafanuzi mkuu nijue wanauzaje mapambano na wananufaika vipi?
 
Back
Top Bottom