Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atachakazwa mwache aingie KingKiduku atapigwa
Heading Mwakinyo anachukua 500MWewe ni slow learner nataka nakusaidie, niambie nini ujaelewa nikueleweshe?
Bila shakaKwamba Twaha wa Morogoro ni Local Boxer?
Hata 10 anachukua.Kwamba Twaha wa Morogoro ni Local Boxer?
Ilo ni dau lake haendi chini zaidi ya hapo. Million 500 Kiduku nae kataka mil 300.Heading Mwakinyo anachukua 500M
Content; ameweka dau lake ni ambalo ni 500M
Dunia ya leo ya kasi umeshindwa nini kuelewesha na kutoa ambiguity..., kuchukua inaweza kumaanisha deal / negotiation is done bado tu kupambana..... Kumbe kilichopo ni Ametoa Dau lake la Kufanikisha Mpambano
Bado ni kazi tuKama kazi ni kipimo cha Utu vipi kuhusu kipigo atachopewa mrembo wa kidigo 😂😂😂
YesBaada ya watanzania kuonesha shauku ya kumuona bondia namba moja Africa, Hassan Mwankinyo akipanda ulingoni na local boxer Twaha Kiduku.
Mwakinyo ametoa bei yake ya kupanda ulingoni sh million 500 za kitanzania na hana maelekezo mapya.
Waliomfata kulialia kawarudisha na mil 200 zao.
Champez kaweka standard anayetaka kumuona kwenye ring na aweke hela.period
Umetoka kwa Diamond sasa unakuwa chawa wa Mwakinyo. Yaani kwa ngumi na fight ipi ambayo anayo mwakinyo apewe Mil 500? Hiyo 200 nani kampa akakataa? Kuna promote wa kumpa Mwakinyo 200M Tanzania hii? Atairudhishaje hiyo pesa yake na apate faida juu? Mtaje kama yupo tumjue. We si ndio ulisema yule kijana anayetembea huku anapepesuka na mnayemvalisha majuba na Madera pale Usafini alinunulowa Cheni ya Milioni 150?Baada ya watanzania kuonesha shauku ya kumuona bondia namba moja Africa, Hassan Mwankinyo akipanda ulingoni na local boxer Twaha Kiduku.
Mwakinyo ametoa bei yake ya kupanda ulingoni sh million 500 za kitanzania na hana maelekezo mapya.
Waliomfata kulialia kawarudisha na mil 200 zao.
Champez kaweka standard anayetaka kumuona kwenye ring na aweke hela.period
Nakuunga mkono hapoChampez hana masihara na kazi yake ndio maana mapromota majalala hawampendi.
Kiduku anaenda kupata maisha kupitia mwakinyo nae si haba ataondoka na mpunga hajawai ota.
Kwahio isingewezekana Heading kuakisi haya maelezo uliyosema hapa ? Point yangu ni kwamba heading ina ambiguity ya bila sababu..., Hili ni janga la kidunia kwa sasa Click Baits zinapelekea watu kupoteza muda au wengine wasoma heading kuondoka na Habari zisizo na ukweli hence ku-spread fake newsIlo ni dau lake haendi chini zaidi ya hapo. Million 500 Kiduku nae kataka mil 300.
Anachukua sababu pambano lazima liwepo na hela muda wowote inapatikana ni suala la muda tu. Hapo umeelewa?
Hapa kilichokupa maumivu ni kusikia kuna kijana anaenda kupata mil 500 nothing else.Umetoka kwa Diamond sasa unakuwa chawa wa Mwakinyo. Yaani kwa ngumi na fight ipi ambayo anayo mwakinyo apewe Mil 500? Hiyo 200 nani kampa akakataa? Kuna promote wa kumpa Mwakinyo 200M Tanzania hii? Atairudhishaje hiyo pesa yake na apate faida juu? Mtaje kama yupo tumjue. We si ndio ulisema yule kijana anayetembea huku anapepesuka na mnayemvalisha majuba na Madera pale Usafini alinunulowa Cheni ya Milioni 150?
Acha uchawa na fix dogo. Utakuja olewa wewe.
Hahahah watamuua asijaribu mziki wa waluguru.Bado ni kazi tu
AKifia kazini ataitwa shujaa, muuaji naye ni shujaaHahahah watamuua asijaribu mziki wa waluguru.