Nacheki mechi ya stars huku nikichungulia mara moja moja boxingtunajigawa vipi huku Mwakinyo huku Stars ishaanza
Tuhamie zbc2 huko hamna mbelekoo[emoji1787][emoji1787]mpaka shemeji yako hapa kashangaa
Hakuna mbeleko kama Yanga?Tuhamie zbc2 huko hamna mbelekoo[emoji1787][emoji1787]
Maamuzi haya yamenifanya nitukane bonge moja la tusi, ila basi tu tuache, mtu amepasuka halafu tunasema drawTushazoea umahera na ujecha mnashangaa nn.
Yaani wamebadili tena? Si mkongo alishindaMaamuzi haya yamenifanya nitukane bonge moja la tusi, ila basi tu tuache, mtu amepasuka halafu tunasema draw
Mambo ya majimbo au vipi,Paz piga hiyo kunguni ya Tanga[emoji1434][emoji1434][emoji1434][emoji1434][emoji1434], team Paz tujuane mapema
Vipi huko leteni updateStaz kisha zingua ngoja tumtizame huyu naye.
Kamlinda yule broiler...angekufa[emoji1787][emoji1787]Mbona refa Kama kamaliza pambano kimagumashi?[emoji23][emoji23]
Elezea mkuu ilikuwaje?Mbona refa Kama kamaliza pambano kimagumashi?[emoji23][emoji23]
Mwakinyo kashinda kwa TKO, japokuwa naona kama refa kawahi angempa mudamuargentina wa kujiteteaElezea mkuu ilikuwaje?