Mwakinyo ashinda kwa TKO dhidi ya muargentina

Mwakinyo ashinda kwa TKO dhidi ya muargentina

Naweza kumtetea refa mpaka pale jamaa alikua anatapatapa tu ngumi haziku zinaelekea kwa mpinzani ukicheki fresh kuna moja kampiga refa... So kwa boxing kuendeleza ilikua kumuumiza zaidi
 
Anapigana na walima matikiti halafu mnatuambia Bondia Bondia gani huyu hata nikipigana nae Mimi namtandika.
 
Back
Top Bottom