wakuja town
JF-Expert Member
- Oct 26, 2020
- 898
- 1,343
Wabongo wengi wao ni Nyoni tu hutupendi vyakwetuWabongo sijui tuna tatizo gani, kabla ya pambano wengi walisema Mwakinyo hafiki raund ya 12, baada ya pambano Mwakinyo kapigana na dereva bodaboda.!!
watampenda tu mkuuNafikiri watu hawampendi Mwakinyo kwa sababu ya dharau zake.
Hatuwezi kumpenda yule mse...nge....mwenzake kamuonyesha support kubwa sana hadi ulingoni alipqqnda laakini huyo mpuuzi alimdharau kinomaawatampenda tu mkuu
Wamebadili tokeo eti imekuwa sareIla itaba kabebwa halikuwa sio wa kuzidiwa point moja yule
kwa hiyo hizo chuki zako czoisha unazan na watu wote watakakuwa hivyo hivyoHatuwezi kumpenda yule mse...nge....mwenzake kamuonyesha support kubwa sana hadi ulingoni alipqqnda laakini huyo mpuuzi alimdharau kinomaa
Tunasubir pambano kati ya Twaha kiduku vs mwakinyoMwakinyo ni mpiganaji wetu mzuri na anaweza kufika mbali sana, lakini kiburi na dharau zake zinamuweka mbali na sapoti ya mashabiki wa nyumbani, hapo alipofika asijione kama ndio keshamaliza kila kitu, LOFA AKIPATA MATAKO HULIA MBWATA
Tutalisubiri sana kwa sasa, lakini kuna uwezekano lisije kufanyika siku za hivi karibuni au lisije kufanyika kabisa kwa sababu ambazo zimeshatolewa na mdau mmoja huko juuTunasubir pambano kati ya Twaha kiduku vs mwakinyo
Hii mechi ni ngumu sana kutokea.ngoja nitafute hela niwe sponsor wa game ya Twaha Kiduku Vs Mwakinyo,naona kuna midomo inaendelea
Bora wapambane amfunze adabu huyu mtoto Mwakinyo.Twaha mtoto wa Nyumbani ila sitamani apambane na Mwakinyo
Yeye mbona alipigana na Egington ,je walikuwa wanafanana rekodi?Rekodi ya Mwakinyo ni kubwa kuliko Kiduku, so ikitoa akapigwa itakuwa aibu kwake bora akapigane na watu wanaofanana rekodi
Anadharau sana ,sio kidogo.Leo amepaform vizuri since pambano lake lilipompa kiki VS Sam Eggington kule England, sema interview bado hajui kufanya Hassan anadharau kidogo
Kuna tetesi nilizisikia kwamba Boxrec wanataka kufuta rekodi za mapambano yote ya mabondia watanzania,sijajua walifikia wapi.Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa boxing, huyu Paz kwenye mtandao wa Boxrec anaonekana yuko nafasi ya 97 duniani kwenye uzito wake. Twaha Kiduku baada ya pambano lake la majuzi wakiupdate info zake atakuwa kwenye 50 bora katika uzito wake.
Na nikiangalia mabondia wote aliopigana nao Mwakinyo baada ya ule ushindi dhidi ya muingereza hakuna hata mmoja ambaye ni top 90, wote wanachezea namba mia na kitu, atleast huyu wa leo yupo kwenye top 100
Mwakinyo anachuki ya ndani kwa Kiduku,achilia mbali suala la kimichezo.Yes, wote wanachukua mabondia wabovu wa nje ili waonekane bora. Ndio maana huwa namshangaa Mwakinyo anapomdharau Kiduku, wakati Kiduku ni bora sana kuliko hao mabondia wa nje anaopigana nao[emoji1][emoji1][emoji1]
Yes wamefuta, wameacha mapambano yao ya nyuma sana sijajua kwaniniKuna tetesi nilizisikia kwamba Boxrec wanataka kufuta rekodi za mapambano yote ya mabondia watanzania,sijajua walifikia wapi.
Dharau zipi mwakinyo amekuoneshea au amewaoneshea watanzania?Mwakinyo ni mpiganaji wetu mzuri na anaweza kufika mbali sana, lakini kiburi na dharau zake zinamuweka mbali na sapoti ya mashabiki wa nyumbani, hapo alipofika asijione kama ndio keshamaliza kila kitu, LOFA AKIPATA MATAKO HULIA MBWATA