Mwakinyo ashinda kwa TKO dhidi ya muargentina

Mwakinyo ashinda kwa TKO dhidi ya muargentina

Hii ni aibu, haiwezekani mwakwinyo apigane na mzibua vyooo wa argentina, huyu Paz inaonekana kabisa ni part-time boxer.
 
Mbona mnasema huyo Mu Argentina ni mchunga ng'ombe huko kwao? Halafu nimemsikia mwengine akipayuka kuwa huyo Mzungu ni mpiga debe wa daladala za kariakoo hivyo kafanya kukamatwa jana asubuhi akapelekwa kambi! Pumbaf kubalini nyumbani, mchezo huu hauna kura za sandarusi.
 
Hatuwezi kumpenda yule mse...nge....mwenzake kamuonyesha support kubwa sana hadi ulingoni alipqqnda laakini huyo mpuuzi alimdharau kinomaa
kwa hiyo hizo chuki zako czoisha unazan na watu wote watakakuwa hivyo hivyo
 
Mwakinyo ni mpiganaji wetu mzuri na anaweza kufika mbali sana, lakini kiburi na dharau zake zinamuweka mbali na sapoti ya mashabiki wa nyumbani, hapo alipofika asijione kama ndio keshamaliza kila kitu, LOFA AKIPATA MATAKO HULIA MBWATA
 
Tunasubir pambano kati ya Twaha kiduku vs mwakinyo
 
Tunasubir pambano kati ya Twaha kiduku vs mwakinyo
Tutalisubiri sana kwa sasa, lakini kuna uwezekano lisije kufanyika siku za hivi karibuni au lisije kufanyika kabisa kwa sababu ambazo zimeshatolewa na mdau mmoja huko juu
 
Rekodi ya Mwakinyo ni kubwa kuliko Kiduku, so ikitoa akapigwa itakuwa aibu kwake bora akapigane na watu wanaofanana rekodi
Yeye mbona alipigana na Egington ,je walikuwa wanafanana rekodi?
Dulla Mbabe alipigana na Rocky Fielding bondia ambaye alikuwa undefeated mpaka alipopigwa na Canelo ,je rekodi yake na Dulla Mbabe zinafanana?
Floyd alipigana na McGregor je rekodi zilikuwa zinafanana?

Acha visingizio vya ajabu.
 
Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa boxing, huyu Paz kwenye mtandao wa Boxrec anaonekana yuko nafasi ya 97 duniani kwenye uzito wake. Twaha Kiduku baada ya pambano lake la majuzi wakiupdate info zake atakuwa kwenye 50 bora katika uzito wake.

Na nikiangalia mabondia wote aliopigana nao Mwakinyo baada ya ule ushindi dhidi ya muingereza hakuna hata mmoja ambaye ni top 90, wote wanachezea namba mia na kitu, atleast huyu wa leo yupo kwenye top 100
Kuna tetesi nilizisikia kwamba Boxrec wanataka kufuta rekodi za mapambano yote ya mabondia watanzania,sijajua walifikia wapi.
 
Yes, wote wanachukua mabondia wabovu wa nje ili waonekane bora. Ndio maana huwa namshangaa Mwakinyo anapomdharau Kiduku, wakati Kiduku ni bora sana kuliko hao mabondia wa nje anaopigana nao[emoji1][emoji1][emoji1]
Mwakinyo anachuki ya ndani kwa Kiduku,achilia mbali suala la kimichezo.
 
Mwakinyo ni mpiganaji wetu mzuri na anaweza kufika mbali sana, lakini kiburi na dharau zake zinamuweka mbali na sapoti ya mashabiki wa nyumbani, hapo alipofika asijione kama ndio keshamaliza kila kitu, LOFA AKIPATA MATAKO HULIA MBWATA
Dharau zipi mwakinyo amekuoneshea au amewaoneshea watanzania?
 
Back
Top Bottom