Mwakinyo ashinda pambano lake dhidi ya Tinampay

Kama umeangalia mwanzo mwa round basi utakuwa na jibu. Mwankinyo akiwa katikati ya ulingo ni madhaifu na hamwezi mfilipino so lazima aelekee kwenye kamba kwa kumsoma na kujiandaa vizuri
Mwakinyo analalia kamba sana
 
Uatumiwa na mabeberu sio bure
Hapana penye ukweli lazma tuseme. Mwakinyo anashambuliwa mno, mwafrika gani anakimbia ngumi kishamba hivyo...

Anapoteza kwa point Mwakinyo
 
Kweli nimeamini ktk nguvu ya marketing.
Mbona bwa mdogo Mwakinyo 'mwenye asili ya Mbeya ila ameibwa na watanga' anaonyesha uwezo wa kawaida.
 
Anakimbilia kwenye kamba halafu anaruhusu ngumi, mpuuzi sana huyu mwakinyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…