masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
HahaahahaKama vipi aanguke mzigo uishe tu watu warudi zao buza tuwaibie simu zao
Mwakinyo anapoteza nagisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahaahahaKama vipi aanguke mzigo uishe tu watu warudi zao buza tuwaibie simu zao
Niliunga bundle la 10k acha tu niendelee kupata update kutoka kwa wadau wa humuAzam Sport 2 wanarusha pambano hilo.
Wajinga sana vibandani hukoUnaweza kusikia makelele ukadhani goli kuna bwege kapigwa tobo au kanzu
Poa poa mkuu.Niliunga bundle la 10k acha tu niendelee kupata update kutoka kwa wadau wa humu
Mkuu nitafutie Samsung note 8 baada ya pambano.Kama vipi aanguke mzigo uishe tu watu warudi zao buza tuwaibie simu zao
Mwakinyo analalia kamba sana
Hapana penye ukweli lazma tuseme. Mwakinyo anashambuliwa mno, mwafrika gani anakimbia ngumi kishamba hivyo...Uatumiwa na mabeberu sio bure
Mama ngumi za kulipwa sio ngumi ni michezo tuMwakinyo analala kambani tu
Ukiona hivyo uwezo hakuna mkuu akae tu mambo yaisheMwakinyo anashindwa kutumia golden chances nyingi , ile chance aliyoipata Mayweather vs Victor Ortiz ,Mwakinyo anazipata nyingi ila anashindwa kuzitumia
Sijaelewa comentMama ngumi za kulipwa sio ngumi ni michezo tu
Imagine mwakinyo kamkuta mke wake ana cheat na mfilipino