Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Misosi ya asili tangu wanakua wadongo sea foods na organic foodsHuo ndo uchawi wa branding & marketing techniques kwa ujumla wake. Hizi jamii za wathailand, Philipinnes na Vietnam hatuwezi kushindana nao. Wako na fitness si ya kawaida.
Ni kwasababu Maumivu yakizidi unashauriwa kumuona daktariAngalia asituimbishe parapanda pale muhimbili buree
Umeona eeGame limeisha. Mwakinyo alibahatisha kumpiga mwingireza
Muamsheni kwa vibokoAnalala lala kwenye kamba tu.
Huyu sio bondia wa kiwango cha juu ila amemshindwa, this means Mwakinyo is not good enoughMfilipino anacheza kama GGG.
Sasa usiku huu na daktari wapi na wapi na mtu umekula makonde ya mwakaNi kwasababu Maumivu yakizidi unashauriwa kumuona daktari
Hahhahaha hivi mbona mnachekeshaMuamsheni kwa viboko
Macho yetu bado mekundu hatujamaliza kulia msiba wa bibi cheka mwambie jamaa akazaneAngalia asituimbishe parapanda pale muhimbili buree