Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Wamempa penalt?Wamempendelea Mwakinyo
Si unajua awamu ya tano ushindi siku zote ni wa kishindoo ? Kwa hiyo anaandikiwa ushindiMbona watu wanashangilia wanaunga juhud au
Wamempendelea Mwakinyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uchakachuaji kama ccm tu. Yaani kashinda Mwakinyo.
Maajabu yapo Afrika.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mcheza kwao hutuzwa!Wamempa ushindi??