Mwakinyo ashinda pambano lake dhidi ya Tinampay

Mwakinyo ashinda pambano lake dhidi ya Tinampay

Inanikumbusha man pac na myweather
Pac alipiga nyingi kinoma myweather akawa anarudirudi nyuma tu na kuvizia mwisho wa siku myweather kashinda
Hili wengi hawalioni, na wengi wao ni wageni wa kuangalia ngumi na kuzielewa.
 
Kwa Tanzania sasa hivi, ngumi za uhakika ni Dullah Mbabe na Mfaume Mfaume.

Mwakinyo niseme ukweli sio chuki, mzito sana, tena atapigwa vibaya akikutana na boxer mkali zaidi, huyu mfilipino yuko chini sana ktk rank, ni wa 170 kama sikosei, Mwakinyo wa 29 nadhani ktk uzito wao, ila Mwakinyo bado sana kumfikia hata Dullah Mbabe hata kidogo hamfikii, naona siasa zimekuwa nyingi zaidi kuliko ngumi
 
Hakikaa....itabidi sasa tuende russia au Mexico kutafuta upinzani wa kweli
Umesahau kuwa mimi ni popo? Huu ndio wakati wangu wa kujidai[emoji6]

Kesho nitakupitia tukampongeze Mwakinyo kwa ushindi wake wa kishindo!
 
Nakumbuka cheka alipigana nje akawa anaongoza round 6 kati ya 8 akapigwa ngumi 4 za mfululizo refa akamaliza pambano wakati bado alikua fiti km yule msauth alivyofanyiwa figisu leo.
Wapuuzi Hawa wasiyoyajua haya. Wanaleta upinzani kwenye kila kitu. Dunia haijawahi kuwa fair
 
Shida sio uwingi wa ngumi ila amepiga wap?
Mwakinyo alipiga nyingi za kichwani(uso) ambazo zina pointi nyingi
Hili wanazi wengi hawakuliona mkuu, na wanaonekana wageni wa hizi pambano,

Binafsi niliondoka kabla mshindi hajatangazwa nikijua km sio sare mwakinyo atashinda sio kushindwa,
Ktk raundi zote ni 2 pekee mwakinyo kazidiwa point.
 
Kwa Tanzania sasa hivi, ngumi za uhakika ni Dullah Mbabe na Mfaume Mfaume.

Mwakinyo niseme ukweli sio chuki, mzito sana, tena atapigwa vibaya akikutana na boxer mkali zaidi, huyu mfilipino yuko chini sana ktk rank, ni wa 170 kama sikosei, Mwakinyo wa 29 nadhani ktk uzito wao, ila Mwakinyo bado sana kumfikia hata Dullah Mbabe hata kidogo hamfikii, naona siasa zimekuwa nyingi zaidi kuliko ngumi
Ila huyu jamaa wanasema niwa pili kwenye uzito wake huko Ufilipino, hivyo sio bondia wa kubeza ki hivyo.
 
Unamaanisha kuwa Mwakinyo kapiga goli la mkono?[emoji1787]
Hahahaha swahiba unajua vijana hapo wanaweza kutafsiri yale mambo yao wanayofanyia bafuni???

Yaani jamaa kashinda bila kupingwa kama zile chaguzi za serikali za vijiweni
 
Main card naitoka kwa Dulla Kiduku vs Msouth na la pili Mfaume mfaume Vs Kaisi Ally.......La Mwakinyo sijalielewa kabisa
Mkuu umechemka pambano la Kiduku halikuwa la kiprofeshino Twaha hana skills na refa kaharibu pia ila la Mfaume lilikuwa zuri kidogo, Mwakinyo na Tinampay lilikuwa na ubora wa hali juu.
Tinampay amerusha ngumi nyingi foul nyingi to me Mwakinyo amepiga point tu kuna vitu vichache akimprovise tutegemee makubwa kutoka kwake.
Uswazi wanasemaje?
 
Muda wote anakimbia ring tu
Mfilipino alikua akirusha ngumi nyingi kumtisha mpinzani wake lkn hazikua na pointi nyingi.... Rejea pambano la floyd na parquiao ndio utaelewa mchezo wa ngumi ulivyo.
 
Back
Top Bottom