TAI DUME
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 9,748
- 26,238
Sio wote wenye pesa wananunua kvant mkuuKwa hasira au kwa pesa ? Pesa ndo inanunua kvant, ebu mshauri jamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio wote wenye pesa wananunua kvant mkuuKwa hasira au kwa pesa ? Pesa ndo inanunua kvant, ebu mshauri jamaa
Hili wengi hawalioni, na wengi wao ni wageni wa kuangalia ngumi na kuzielewa.Inanikumbusha man pac na myweather
Pac alipiga nyingi kinoma myweather akawa anarudirudi nyuma tu na kuvizia mwisho wa siku myweather kashinda
Mshikaji kachezea vikombe lakini bado katangazwa bingwaCcm wameharibu pambano
Nimekutumia namba ya muhasibu/kaunta inbox. Wezesha muamalaUsiongeze moja, ongeza 10 bili kwangu!
Umesahau kuwa mimi ni popo? Huu ndio wakati wangu wa kujidai[emoji6]
Kesho nitakupitia tukampongeze Mwakinyo kwa ushindi wake wa kishindo!
Wapuuzi Hawa wasiyoyajua haya. Wanaleta upinzani kwenye kila kitu. Dunia haijawahi kuwa fairNakumbuka cheka alipigana nje akawa anaongoza round 6 kati ya 8 akapigwa ngumi 4 za mfululizo refa akamaliza pambano wakati bado alikua fiti km yule msauth alivyofanyiwa figisu leo.
Ni wajinga sana. Mijitu inakuwa kama haikusomea fani hii. Kila round kuisha wanapendelea kwa MwakinyoAzam wanapendelea , kwenye upande wa highlights wanaonyesha za Mwakinyo tu za Tinampay hawazionyeshi.
Hili wanazi wengi hawakuliona mkuu, na wanaonekana wageni wa hizi pambano,Shida sio uwingi wa ngumi ila amepiga wap?
Mwakinyo alipiga nyingi za kichwani(uso) ambazo zina pointi nyingi
Ila huyu jamaa wanasema niwa pili kwenye uzito wake huko Ufilipino, hivyo sio bondia wa kubeza ki hivyo.Kwa Tanzania sasa hivi, ngumi za uhakika ni Dullah Mbabe na Mfaume Mfaume.
Mwakinyo niseme ukweli sio chuki, mzito sana, tena atapigwa vibaya akikutana na boxer mkali zaidi, huyu mfilipino yuko chini sana ktk rank, ni wa 170 kama sikosei, Mwakinyo wa 29 nadhani ktk uzito wao, ila Mwakinyo bado sana kumfikia hata Dullah Mbabe hata kidogo hamfikii, naona siasa zimekuwa nyingi zaidi kuliko ngumi
Shida sio uwingi wa ngumi ila amepiga wap?
Mwakinyo alipiga nyingi za kichwani(uso) ambazo zina pointi nyingi
Hahahaha swahiba unajua vijana hapo wanaweza kutafsiri yale mambo yao wanayofanyia bafuni???Unamaanisha kuwa Mwakinyo kapiga goli la mkono?[emoji1787]
Basi wasiwe wanazizuia ikiwa kama mpinzani anapiga za tumbo na mbavu kwasababu hazihesabiwiNgumi za tumbo na mbavu hazihesabiwi
Mkuu umechemka pambano la Kiduku halikuwa la kiprofeshino Twaha hana skills na refa kaharibu pia ila la Mfaume lilikuwa zuri kidogo, Mwakinyo na Tinampay lilikuwa na ubora wa hali juu.Main card naitoka kwa Dulla Kiduku vs Msouth na la pili Mfaume mfaume Vs Kaisi Ally.......La Mwakinyo sijalielewa kabisa
Mfilipino alikua akirusha ngumi nyingi kumtisha mpinzani wake lkn hazikua na pointi nyingi.... Rejea pambano la floyd na parquiao ndio utaelewa mchezo wa ngumi ulivyo.Muda wote anakimbia ring tu