trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 744
Kwa kubebwa Huku, huyu akienda NJE atapigwa na kuvunjwa taya...
Na utakuwa mwisho wa yeye kupigana ngumu...
Kabebwa mchana kweupe..
Ila huyu jamaa wanasema niwa pili kwenye uzito wake huko Ufilipino, hivyo sio bondia wa kubeza ki hivyo.
HahahaaaaaaNyie mnaona kichekesho ni mwakinyo kuchezea mabomba ya maana na bado kaibuka bingwa
Kichekesho kinakuja pale ukikumbuka bondia mwakinyo alikua akiforce kudai pambano na mayweather
Tafuta mapambano yake youtube ndio utamuelewa vizuri, na huyu mfilipino sio wa mchezo mchezoNatamani sana akipata pambano lingine huko nje ya nchi avunje frontal upper & Lower teeth ajue kabisa kuwa hana kiwango cha kucheza ngumi za kulipwa...
Huyu bwana kwenye ngumi bado ni mbichi yupo uchi kabisa akikutana na wajanja anaweza fia uwanjani...
Afu wanajinasibu wako tayari kuonyesha mapambano makubwa hapa Tz, ni aibu kwa media kubwa kama ileAzam wanapendelea , kwenye upande wa highlights wanaonyesha za Mwakinyo tu za Tinampay hawazionyeshi.
Zile ni kwaajili ya kumchosha mpinzani, usoni ndipo kwenye points.Basi wasiwe wanazizuia ikiwa kama mpinzani anapiga za tumbo na mbavu kwasababu hazihesabiwi
Ila refa alizingua kuwahi kumaliza wakati msouth alionekana bado alikua fitMain card naitoka kwa Dulla Kiduku vs Msouth na la pili Mfaume mfaume Vs Kaisi Ally.......La Mwakinyo sijalielewa kabisa
Nilikaa na mtaalamu mmoja wa masubwi pale shamba la Bibi akasema,bondia akipigwa ngumi kadhaa bila kujibu refa anatakiwa amuokoe hata kama anania ya kuendeleaIla refa alizingua kuwahi kumaliza wakati msouth alionekana bado alikua fit
Kuna watu sijui akili zao zipo upside down wanaona angle tofauti kabisaWapuuzi Hawa wasiyoyajua haya. Wanaleta upinzani kwenye kila kitu. Dunia haijawahi kuwa fair
Jamani pambano lilichezwa hadharani tu, mkuu naomba unielekeze chuo cha boxing nikasome namm sheria kiasi maana inaonyesha macho yangu yananidanganya sanaMfilipino ameshambulia sana ila ngumi zake zilikuwa hazina point , Mwakinyo amepiga ngumi nyingi za point.
Mfilipimo ni mwepesi na anaspidi ila anarusharusha tu ngumi, Mwakinyo ni mzito ila anapiga ngumi za akili.
Mwakinyo kashinda kihalali, ila aongeze mazoezi ya wepesi.
Kwa tulioangalia pambano la Wilder juzi mtakubaliana na mimi kuwa Ortiz alitawala kuanzia raundi ya kwanza mpaka ys sita.
Ila raundi ya saba Wilder alipiga ngumi moja tu jamaa chali.
Point nyingi ni ngumi sahihi za uso ambapo mwakinyo alikua akipiga nyingi, wengi wenu mnajua akirusha hata ikitua kwenye mikono na tumbo zinahesabiwa....Pointi nyingi kivipi.. zinazidianaje, tuonyeshe,tujifunze
Huyo wilder ni mziki mwingine..Mfilipino ameshambulia sana ila ngumi zake zilikuwa hazina point , Mwakinyo amepiga ngumi nyingi za point.
Mfilipimo ni mwepesi na anaspidi ila anarusharusha tu ngumi, Mwakinyo ni mzito ila anapiga ngumi za akili.
Mwakinyo kashinda kihalali, ila aongeze mazoezi ya wepesi.
Kwa tulioangalia pambano la Wilder juzi mtakubaliana na mimi kuwa Ortiz alitawala kuanzia raundi ya kwanza mpaka ys sita.
Ila raundi ya saba Wilder alipiga ngumi moja tu jamaa chali.
Jitu kama tyson likufumue kikombe cha mbavu, utasema kakuchosha tu na stamina ya kuendelea na gemu utakua nayo??Zile ni kwaajili ya kumchosha mpinzani, usoni ndipo kwenye points.
Hili halipo hapa tu, karibu duniani kote huo mchezo wanaufanya sana, nimeyaona sana pia kuna siku yanga alisawazisha na al ahal mtangazaji hakusema ni bali alipiga kimya, al ahali walivyopata la ushindi alipagawa na matusi juuAfu wanajinasibu wako tayari kuonyesha mapambano makubwa hapa Tz, ni aibu kwa media kubwa kama ile
Sio sheria ni maamuzi ya refa... Rejea pambano la mwakinyo na muingereza ndio utaelewa maana refa aliacha kwa mda sana mwakinyo akamchafua mpinzani wake, sikuona ngumi nyingi za kumfanya msouth aokolewe maana hadi yeye alibaki kumshangaa refa.Nilikaa na mtaalamu mmoja wa masubwi pale shamba la Bibi akasema,bondia akipigwa ngumi kadhaa bila kujibu refa anatakiwa amuokoe hata kama anania ya kuendelea
JAJI Lubuva kafanya yake