Mwakinyo ashinda pambano lake dhidi ya Tinampay

Ukiona hivyo ujue alimsoma mpinzan wake kua hakua na uwezo huo, ndio maana baada ya mwakinyo kumwacha akapiga nyingi za tumbo na bado yupo imara mfilipino akawa hapigi tena tumboni mara kwa mara... Ngumi zina mambo mengi mkuu, ingia youtube uone ndio utazielewa zaidi
 
Nope, amekula za kichwa nyingi zaidi. Tena kama raundi saba z mwanzo mwakinyo alielemewa sana, ameanza kufurukuta mwishoni. Lakini akipiga moja, mfilipino anapitisha tatu hadi nne, sio kwenye guards, KICHWANI. Hata Matumla alionyesha wasiwasi mkubwa kwa staili ile na aliashiria mwakinyo amechapwa.
 
Unasema nini kuhusu kuanguka chini mwakinyo na mwamuzi akadao alisukumwa?
 
Nina mashaka na Matumla alishabikia sana style ya Twaha Kiduku hawa malejendari wetu bwana ni sawa na kumkosoa Samatta tu ilihali level hizo hawakufika.
 
Pambano la Mayweather vs Pacquiao halifanani kabisa na pambano la Mwakinyo na Tinampay


Defence ya Mawyweather ni ngumu sana kupenya kuliko ya Mwakinyo ,angalia hata highlights.
 
Ndio maana bondia kama Deontay Wilder hataki mbwembwe nyingi wewe ruka ruka weee ila ya kwake moja tu lazima ukae.
 
Nyie mnaona kichekesho ni mwakinyo kuchezea mabomba ya maana na bado kaibuka bingwa

Kichekesho kinakuja pale ukikumbuka bondia mwakinyo alikua akiforce kudai pambano na mayweather
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tena alikuwa ana undermine skills za Mayweather kisa amempiga Engigton [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Amepiga za point wapi wakati amecheza faulo nyingi ambazo kimsingi ilipaswa akatwe pointi.
 
Pambano la King Kong vs Bronze Bomber na pambano la Mwakinyo vs Tinampay ni vitu viwili tofauti.

Wilder angecheza 12 rounds angepoteza kwa UD maana King Kong alitawala mchezo ila Wilder hakutaka mambo mengi akamaliza mchezo kwa K.O.
 
Siasa tena. Eti Magufuli kafanya ngumi zitambulike. Wakati Mwakinyo alihangaika mwenyewe. Alivyoshinda U.K ndo kila mtu akamfahamu kupitia ile interview ya manager wake.
Ile interview ipewe tuzo meneja alitisha sana
 
Ile interview ipewe tuzo meneja alitisha sana
Hahah yule Manager(kama shombe shombe) nilimkubali sana pale.

Hata hivyo kwny mambo ya ngumi huyo Manager nimemuona kwa miaka mingi sana zaidi hata ya 10.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…