Samboko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2011
- 5,420
- 7,788
Ukiona hivyo ujue alimsoma mpinzan wake kua hakua na uwezo huo, ndio maana baada ya mwakinyo kumwacha akapiga nyingi za tumbo na bado yupo imara mfilipino akawa hapigi tena tumboni mara kwa mara... Ngumi zina mambo mengi mkuu, ingia youtube uone ndio utazielewa zaidiJitu kama tyson likufumue kikombe cha mbavu, utasema kakuchosha tu na stamina ya kuendelea na gemu utakua nayo??
Watu wana ngumi nzito kuliko miili yao, anaweza kukupa kaunta attack moja ya ubavu ukakuta kavunja mbavu.
Matokeo yake ukashindwa kuendelea na gemu sasa hapo si amechukua ushindi kwa kukufanya wewe ushindwe kuendelea na gemu??