Mwakinyo ashinda pambano lake dhidi ya Tinampay

Wewe ndiyo unajua sana na ni lecturer wa sheria za ngumi, mtatetea sana ila bahati nzuri mchezo ulichezwa hadharani na nilikuwepo Uhuru na leo nimeirudia clip ya azam TV kwahiyo Mwakinyo amesaidika na unyumbani siyo ushindi wake.
Kwa kukusaidia tizama post # 157.
 
Umeulizwa ni ngumi za namna gani zinazotoa score kwenye boxing hujui. Unapewa maarifa ya kufahamu uasilia wa mambo unaleta kiburi.

Nakupa fursa, ogelea kwenye fahari yako.
Kasome zikusaidie wewe mwenyewe
 
Hawa majaji wakabidhibiwe tume ya taifa ya uchaguzi
 
Bora mkuu umeona hilo. Dogo viwango vipo chini sana. Huyu akikutana tu na akina Dulah na Mfaume watamuuwa.
 
Mwakinyo lazima apigwe [emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe kuna ambao mlikua na matokeo yenu mfukoni ndio maana hamtaki kumkubali mwakinyo?
Yaani mlio na vimelea vya chama flani shida sana, hata ukweli mnautaka uwe uongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…