Mwakinyo ashinda pambano lake dhidi ya Tinampay

Mwakinyo ashinda pambano lake dhidi ya Tinampay

Wewe ndiyo unajua sana na ni lecturer wa sheria za ngumi, mtatetea sana ila bahati nzuri mchezo ulichezwa hadharani na nilikuwepo Uhuru na leo nimeirudia clip ya azam TV kwahiyo Mwakinyo amesaidika na unyumbani siyo ushindi wake.
Kwa kukusaidia tizama post # 157.
 
Umeulizwa ni ngumi za namna gani zinazotoa score kwenye boxing hujui. Unapewa maarifa ya kufahamu uasilia wa mambo unaleta kiburi.

Nakupa fursa, ogelea kwenye fahari yako.
Kasome zikusaidie wewe mwenyewe
 
Hawa majaji wakabidhibiwe tume ya taifa ya uchaguzi
 
Bora mkuu umeona hilo. Dogo viwango vipo chini sana. Huyu akikutana tu na akina Dulah na Mfaume watamuuwa.
Kwa Tanzania sasa hivi, ngumi za uhakika ni Dullah Mbabe na Mfaume Mfaume.

Mwakinyo niseme ukweli sio chuki, mzito sana, tena atapigwa vibaya akikutana na boxer mkali zaidi, huyu mfilipino yuko chini sana ktk rank, ni wa 170 kama sikosei, Mwakinyo wa 29 nadhani ktk uzito wao, ila Mwakinyo bado sana kumfikia hata Dullah Mbabe hata kidogo hamfikii, naona siasa zimekuwa nyingi zaidi ku
 
Mwakinyo lazima apigwe [emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe kuna ambao mlikua na matokeo yenu mfukoni ndio maana hamtaki kumkubali mwakinyo?
Yaani mlio na vimelea vya chama flani shida sana, hata ukweli mnautaka uwe uongo.
 
Back
Top Bottom