Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
KagoogleNi ngumi za namna gani ambazo zinatoa score kwenye boxing?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KagoogleNi ngumi za namna gani ambazo zinatoa score kwenye boxing?
Kwa kukusaidia tizama post # 157.Wewe ndiyo unajua sana na ni lecturer wa sheria za ngumi, mtatetea sana ila bahati nzuri mchezo ulichezwa hadharani na nilikuwepo Uhuru na leo nimeirudia clip ya azam TV kwahiyo Mwakinyo amesaidika na unyumbani siyo ushindi wake.
Jisaidie mwenyewe kwanzaKwa kukusaidia tizama post # 157.
Acha kubisha bisha vitu/mambo usiyoyajua unaendekeza ujinga. Uliza usiyoyajua ili ufafanuliwe.Kagoogle
Huna ulijualo wewe,ujinga ni kutetea ujinga wenyeweAcha kubisha bisha vitu/mambo usiyoyajua unaendekeza ujinga. Uliza usiyoyajua ili ufafanuliwe.
Umeulizwa ni ngumi za namna gani zinazotoa score kwenye boxing hujui. Unapewa maarifa ya kufahamu uasilia wa mambo unaleta kiburi.Huna ulijualo wewe,ujinga ni kutetea ujinga wenyewe
Kasome zikusaidie wewe mwenyeweUmeulizwa ni ngumi za namna gani zinazotoa score kwenye boxing hujui. Unapewa maarifa ya kufahamu uasilia wa mambo unaleta kiburi.
Nakupa fursa, ogelea kwenye fahari yako.
Hata taifa stars ilifanyiwa fitna wapinzani wakapewa penart iliyogonga goti, hili unaliongeleaje male ndo.Huyu jamaa kabebwa na uraia wake
Acha ujinga wewe boyaKasome zikusaidie wewe mwenyewe
Usitafute umaarufu kwa matusi,haitakusaidia tumia ubongo wako vizuriAcha ujinga wewe boya
Umeeleweka Mr Dustbinhongera serikali ya awamu ya tano
Mbovu haswa.Huyu sio bondia wa kiwango cha juu ila amemshindwa, this means Mwakinyo is not good enough
Kwa Tanzania sasa hivi, ngumi za uhakika ni Dullah Mbabe na Mfaume Mfaume.
Mwakinyo niseme ukweli sio chuki, mzito sana, tena atapigwa vibaya akikutana na boxer mkali zaidi, huyu mfilipino yuko chini sana ktk rank, ni wa 170 kama sikosei, Mwakinyo wa 29 nadhani ktk uzito wao, ila Mwakinyo bado sana kumfikia hata Dullah Mbabe hata kidogo hamfikii, naona siasa zimekuwa nyingi zaidi ku
Kabebwa ila kichapo kala cha kutosha sana asanteni haya asanteni sana sana.Wewe ni Mrundi!!
Ladhani huwa inakuuma sana ukiona mwenzio anafanikiwa.
Kumbe kuna ambao mlikua na matokeo yenu mfukoni ndio maana hamtaki kumkubali mwakinyo?Mwakinyo lazima apigwe [emoji23][emoji23][emoji23]
Siuelewi na sitaki kabisa mwanangu aucheze.Heri yako huuelewi, mimi siupendi kabisa!