Mwakinyo ashinda pambano lake dhidi ya Tinampay

Nini kinaendelea mpaka sasa kwa wale mliopo Taifa au kwenye tv kati ya Mwakinyo na Mfilipino
 
Hawa wanaopigana sahivi ndo kina nani?
 
Vipi na akina sie ambao tupo kwenye vibanda tunaangalia tunaruhusiwa kuleta update???
 
Kumbe huyu Rama bulu hamna kitu eeeee
 
Mwakinyo anapigana na Pakyau Leo atachapwa misumari ya maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…