Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapambano ya awali yanaendelea.Jamani Mlioko taifa, tutendeeni haki.... Updates please
Hawa wanaopigana sahivi ndo kina nani?
We acha tu hawq ndugu zetu si ndugu kabisa.Hawatuonei huruma.Yaani hawa jamaa wanavyotupiana vinu halafu utasikia kaslay queen "tuma na yakutolea".
Inabid mapema t mfilipino awe tyr ashakubali knock outWeka tu mzee wala usiogope ila kumbuka kila penye riziki pia kuna risk
Ok, yule aliyevaa bukta nyeupe alichoka sanaMwankemwa vs Adam
Twaha kiduku
Huyo kiduku naona kaanza kwa spèedKumbe huyu Rama bulu hamna kitu eeeee
Kikubwa update zilizo za kweli mkuuVipi na akina sie ambao tupo kwenye vibanda tunaangalia tunaruhusiwa kuleta update???
Hili pambano sijui ilikuaje uzito ukawa tofauti. Also nimeona kama refa alikua kidogo anavungia fouls za MakemwaMwankemwa vs Adam
Pambano limeendaje huko?Inabid mapema t mfilipino awe tyr ashakubali knock out