Mwakinyo ashinda pambano lake dhidi ya Tinampay

Mwakinyo ashinda pambano lake dhidi ya Tinampay

Matokeo ya hapa mshindi ni mfaume mfaume mfaumeeeeeee wa Dar Es saalaaaaaaaaaaaaam
MFALMEEEEEEEE!!!!
Kipenzi cha vijana(wahuni)wa Dar es Salaaam.Mfaumeeee anapigana na Kessy hili ndo pambano la mwisho kabla ya kuhitimisha usiku wa vitana kati ya Mwakinyo na Tarampei(mfilipino)
 
Kifuatachoooo niiii kileeeee tulichosubiriiiiiuu!
 
Matokeo ya hapa mshindi ni mfaume mfaume mfaumeeeeeee wa Dar Es saalaaaaaaaaaaaaam
MFALMEEEEEEEE!!!!
Hawa inabidi wapate rematch, mechi yao ilikuwa nzuri kuliko zote, also it was 50/50 fight. Kilichombeba Mfaume ni ile knockdown
 
Kwan mwankinyo amelipwa kiasi gani hili pambano
 
Wamepeleka pongezi kwa serekali ya awamu ya 5
Siasa tena. Eti Magufuli kafanya ngumi zitambulike. Wakati Mwakinyo alihangaika mwenyewe. Alivyoshinda U.K ndo kila mtu akamfahamu kupitia ile interview ya manager wake.
 
Siasa tena. Eti Magufuli kafanya ngumi zitambulike. Wakati Mwakinyo alihangaika mwenyewe. Alivyoshinda U.K ndo kila mtu akamfahamu kupitia ile interview ya manager wake.
I need Kelly Brook[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom