Mwakinyo ashinda pambano lake dhidi ya Tinampay

Mwakinyo ashinda pambano lake dhidi ya Tinampay

Mwakinyo amesindikizwa na Ney na Mzee wa mitulinga Profesa J mbunge wa Mikumi( Chadema.)
 
Kwa hakika leo nimeona nami nijumuike wadau wa masumbwi uwanja wa uhuru kwa mara ya kwanza kuangalia masumbwi.
Watu ni wengi na tiketi kufikia muda huu inasemekana zimeisha.Polisi wamepewa jukumu la kusimamia watu kuingia uwanjani.Ila ugumu wa maisha sitaki niseme ila polisi acha na wao leo wale na vipofu.
Maelfu ya watu wanazidi kumimika tutazidi kupeana update.
Ulingo hauonekani vizuri sijajua huu ubunifu wa ulingo nani kaleta ila sio mbaya sana maana hautupi kuona kisawasawa.Sound ipo powa sana na muziki ni mwanana ila mambo ni[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]karibuni wote!
Mungu ibariki Tanzania.
Ushindi lazima.
kwani si walisema kuingia ni free ama

haya poa tupe update
 
Huyuuuu MC wamemtoa Wapiii Hawezi hata kuamsha amshaa anatetemekaaa tuuuu!!!

Kalipooza Shindanooooooo na DJ sijui Wa Wapiii Huyuuuuu

Shindano Lazima liwe na Amsha Amshaa

MC kafeliiii
 
Technically hili pambano naliona kuwa gumu sana.Ila Mwakinyo hawezi kupigwa kwa knock out maaana ni mgumu
 
Azam sports 2 watakuwa LIVE kuanzia saa 12.30 lakini kuna mapambano ya Utangulizi km yote, Mwakinyo atakuja kupanda ulingoni saa 4.30
Baadhi ya Waswahili wana shida kwenye muda!
 
Back
Top Bottom