Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Nilitarajia Mfaume Mfaume apoteze kwa Unanimous Decision ila nimeshangaa imekuwa kinyume chake.Hoja ile powerful punch nadhan ndio imembeba ila sare ingependeza sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilitarajia Mfaume Mfaume apoteze kwa Unanimous Decision ila nimeshangaa imekuwa kinyume chake.Hoja ile powerful punch nadhan ndio imembeba ila sare ingependeza sana
Nipo mkuu.Mpiga zumari wa umbea upo hadi kwenye ngumi?!
Bila kumsahau F.A, Dimpoz nkMwakinyo amesindikizwa na Ney na Mzee wa mitulinga Profesa J mbunge wa Mikumi( Chadema.)
Yaani hizi ni dalili mbaya. Mwakinyo juhudi zake ndo zimefanya ngumi kujulikana Tanzania.Wamepeleka pongezi kwa serekali ya awamu ya 5
Mwakinyo amesindikizwa na Ney na Mzee wa mitulinga Profesa J mbunge wa Mikumi( Chadema.)
kwani si walisema kuingia ni free amaKwa hakika leo nimeona nami nijumuike wadau wa masumbwi uwanja wa uhuru kwa mara ya kwanza kuangalia masumbwi.
Watu ni wengi na tiketi kufikia muda huu inasemekana zimeisha.Polisi wamepewa jukumu la kusimamia watu kuingia uwanjani.Ila ugumu wa maisha sitaki niseme ila polisi acha na wao leo wale na vipofu.
Maelfu ya watu wanazidi kumimika tutazidi kupeana update.
Ulingo hauonekani vizuri sijajua huu ubunifu wa ulingo nani kaleta ila sio mbaya sana maana hautupi kuona kisawasawa.Sound ipo powa sana na muziki ni mwanana ila mambo ni[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]karibuni wote!
Mungu ibariki Tanzania.
Ushindi lazima.
Ilikuwa close fight, Kessy amejab vizuri, ila Mfaume kapiga power punch nyingiNilitarajia Mfaume Mfaume apoteze kwa Unanimous Decision ila nimeshangaa imekuwa kinyume chake.
Sema uzuri wa Mfaume Mfaume hana papara .Ilikuwa close fight, Kessy amejab vizuri, ila Mfaume kapiga power punch nyingi
Baadhi ya Waswahili wana shida kwenye muda!Azam sports 2 watakuwa LIVE kuanzia saa 12.30 lakini kuna mapambano ya Utangulizi km yote, Mwakinyo atakuja kupanda ulingoni saa 4.30
Yes, halafu ana skills, akipata mwalimu mzuri ni bonge la bondiaSema uzuri wa Mfaume Mfaume hana papara .
Hahahaahahaaa nimecheka sana et sare za chama tawala!! Duh
hata kavideo sio mbayaKama kuna watu wako hapa uwanjani na wanasimu zenye kamera kubwa mnaombwa kushare picha hapa.