mikedean
JF-Expert Member
- Mar 15, 2018
- 3,267
- 4,634
Matokeo ya hapa mshindi ni mfaume mfaume mfaumeeeeeee wa Dar Es saalaaaaaaaaaaaaam
MFALMEEEEEEEE!!!!
MFALMEEEEEEEE!!!!
Kipenzi cha vijana(wahuni)wa Dar es Salaaam.Mfaumeeee anapigana na Kessy hili ndo pambano la mwisho kabla ya kuhitimisha usiku wa vitana kati ya Mwakinyo na Tarampei(mfilipino)