Dish
JF-Expert Member
- Jun 3, 2019
- 624
- 922
Ni wale wale mabondia wake anaowanunua yeye mwenyewe na kuwalipia nauli waje, chakula unategemea watamshinda ama watampiga?
Nenda ukapigane nae wewe usie nunuliwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wale wale mabondia wake anaowanunua yeye mwenyewe na kuwalipia nauli waje, chakula unategemea watamshinda ama watampiga?
Siwezi kupigana nae, sio class yangu.Nenda ukapigane nae wewe usie nunuliwa
Unamkejeli mtu ambaye hata hajui kama una existSiwezi kupigana nae, sio class yangu.
Yeye anapigana light middle weight kilo 65-69.
Pamoja na kwamba mimi sio bondia, nina kilo 95, urefu 6'5 so siwezi kupigana nae, nitamuua. Itakua kama Big Show na Floyd Mayweather.
Wewe binti mumeo mwakinyo hana anachonizidi, sio uzito, sio urefu, sio hela sio chochote. Hivyo sina sababu ya kumchukia.Unamkejeli mtu ambaye hata hajui kama una exist
Huoni unateseka sana..na zaidi una matatizo ya akili unachukia na kuumizwa na mafanikio ya mtu , huo ni umaskini wa kiwango kikubwa, jitahidi kufuta umaskini kwenye maisha yako
Jana nikicheka lile pambano la wadada Deborah na mwenzie kabla ya hilo la kina Mwakinyo!
Alipigana na KinyoziMmmm ila bado sijamuelewa Kinyo boy nataka niangalie mapambano yake hara 5 tu lile jana sijalielewaaaaa
Hakuna habar yeyote kwenye website ya WBO kuhusu huyo mdigoAlipigana na Kinyozi