The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
'Hakuna maneno yanayo tosha sawa sawa kuelezea family zilizo poteza wapendwa wao ambao ni ndugu zetu pia. Kifo ndio ahadi pekee ya kweli inayopaswa kuheshimiwa MAISHANI huja mara moja tu.
Ingawa zipo sababu nyingi zinazo weza kupelekea kifo cha mtu Lakini mara nyingi mtu anapo kufa hakuna sababu inayo tosha kulinganisha na uhai wake Mungu atuswamehe sisi wote maiti watarajiwa na awaswameh makosa YAO ndugu zetu walipo kosea Kwa MUNGU na kwa binaadam wenzao MUNGU awatie nguvu wazee na family zote kwa ujumla tuna ungana nanyi kama. Taifa kwenye nyakati zenu hizi ngumu za mapito"