Mwakinyo: Mashehe na Masharif wa Tanga wafanye jambo Ili iwe fundisho, siyo kila jambo aachiwe Mungu kuamua!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Bondia Maarufu nchini mh Mwakinyo amewataka Mashehe na Masharif wa Tanga kufanya jambo Ili iwe fundisho kwa wengine

Mwakinyo amesema Tanga ina wanazuoni wakubwa wanaoheshimika hivyo Kifo Cha Ally Mohamed Kibao kikatoe somo kwa Wote wanaouchezea mkoa wa Tanga

=========

Mwakinyo ameandika haya kupitia ukurasa wake wa Instagram:

Ipo haja kubwa ya mashekh, masharifu, na wanazuoni wakubwa wa TANGA kwa pamoja tufanye jambo la maapizo zuri tu iwe fundisho kwa wengine. Hizo elimu zenu za kuwa mnataka kila jambo aachiwe MUNGU na silaha mnazo mnaukosea mji wetu na sio sawa. Waliofanya wafanywe kama walivyofanya itarahisisha mambo kua mengi al kisasi haki. 💪🏼

Mwakinyo.PNG

- Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
 
Bondia Maarufu nchini mh Mwakinyo amewataka Mashehe na Masharif wa Tanga kufanya jambo Ili iwe fundisho kwa wengine

Mwakinyo amesema Tanga ina wanazuoni wakubwa wanaoheshimika hivyo Kifo Cha Ally Mohamed Kibao kikatoe somo kwa Wote wanaouchezea mkoa wa Tanga

Source: Mwanahalisi Digital
Wafanye kitu gani?
 
Bondia Hassan Mwakinyo ate*** na watu wasio*** alipokuwa akitoka*** , mashuhuda wanasema waliweza kuokoa gloves kwenda
 
achane na maswala yananohusisha siasa mara moja itamgharimu.

nafikiri ni wakati wa kujaribu kuzungumza nae kidogo
Kwamba kifo cha mtu ni siasa!? Au unataka kusema kuna wanasiasa waliofanya hayo mauaji!? Mbona kama wewe ndo unalwta siasa kwenye jambo lisilo na siasa!? Mtu kashauri Masheikh na wazee wafanye jambo (bila shaka ni la kiroho) kuwaumbua wauaji wewe unakuja na ngonjera za kumtisha aache!? Watu kama wewe ni mzigo kwa taifa na ndo mmefanya hii nchi iwe hapa ilipo.
 
😄😄😄
 
Bondia Maarufu nchini mh Mwakinyo amewataka Mashehe na Masharif wa Tanga kufanya jambo Ili iwe fundisho kwa wengine

Mwakinyo amesema Tanga ina wanazuoni wakubwa wanaoheshimika hivyo Kifo Cha Ally Mohamed Kibao kikatoe somo kwa Wote wanaouchezea mkoa wa Tanga

Source: Mwanahalisi Digital
Sijawahi kuona wala kusikia hao mashehe na masharifu wamesoma dua hadi mtu akafa!

Hizo ni porojo tu!
 
achane na maswala yananohusisha siasa mara moja itamgharimu.

nafikiri ni wakati wa kujaribu kuzungumza nae kidogo
Mwakyembe alimwambia hivyo hivyo Roma Mkatoliki leo Roma Anaishi Marekani anakula Bata.
Mwakyembe yuko wapi? Si kapotea kwenye siasa?

Kuna vitu vinatokea kwa makusudi ya Mungu. Roma ni kama walimpiga teke Chura.

Unadhani Mwakinyo asipofanya Ndondi hataishi? Fikra za kijima sana hizi.
 
Bondia Maarufu nchini mh Mwakinyo amewataka Mashehe na Masharif wa Tanga kufanya jambo Ili iwe fundisho kwa wengine

Mwakinyo amesema Tanga ina wanazuoni wakubwa wanaoheshimika hivyo Kifo Cha Ally Mohamed Kibao kikatoe somo kwa Wote wanaouchezea mkoa wa Tanga

Source: Mwanahalisi Digital
Bro nilijua anaongea jambo la maana kumbe anawaza uchawi tu
 
Back
Top Bottom