Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni ushauri nimempa ndugu wala sio kwa ubayaKwamba kifo cha mtu ni siasa!? Au unataka kusema kuna wanasiasa waliofanya hayo mauaji!? Mbona kama wewe ndo unalwta siasa kwenye jambo lisilo na siasa!? Mtu kashauri Masheikh na wazee wafanye jambo (bila shaka ni la kiroho) kuwaumbua wauaji wewe unakuja na ngonjera za kumtisha aache!? Watu kama wewe ni mzigo kwa taifa na ndo mmefanya hii nchi iwe hapa ilipo.
habari ya mweshimiwa mwakiembe inakakaje hapa nduguMwakyembe alimwambia hivyo hivyo Roma Mkatoliki leo Roma Anaishi Marekani anakula Bata.
Mwakyembe yuko wapi? Si kapotea kwenye siasa?
Kuna vitu vinatokea kwa makusudi ya Mungu. Roma ni kama walimpiga teke Chura.
Unadhani Mwakinyo asipofanya Ndondi hataishi? Fikra za kijima sana hizi.
mta au wataWatekaji mtajulikana tu
ni kweli msiba unagusa kila mtu hasa watu wa karibu lakini mihemko isishike hatamu kipindi hiki kigumuMkuu kwa hilii haijalishi wewe ni mcheza mpira au karate .kwa kila binaadamu lazima limuume
Kwa hili kila mtu limemgusa.Bondia Maarufu nchini mh Mwakinyo amewataka Mashehe na Masharif wa Tanga kufanya jambo Ili iwe fundisho kwa wengine
Mwakinyo amesema Tanga ina wanazuoni wakubwa wanaoheshimika hivyo Kifo Cha Ally Mohamed Kibao kikatoe somo kwa Wote wanaouchezea mkoa wa Tanga
=========
Mwakinyo ameandika haya kupitia ukurasa wake wa Instagram:
Ipo haja kubwa ya mashekh, masharifu, na wanazuoni wakubwa wa TANGA kwa pamoja tufanye jambo la maapizo zuri tu iwe fundisho kwa wengine. Hizo elimu zenu za kuwa mnataka kila jambo aachiwe MUNGU na silaha mnazo mnaukosea mji wetu na sio sawa. Waliofanya wafanywe kama walivyofanya itarahisisha mambo kua mengi al kisasi haki. 💪🏼
- Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana