Mwakinyo: Mashehe na Masharif wa Tanga wafanye jambo Ili iwe fundisho, siyo kila jambo aachiwe Mungu kuamua!

Hii ni kweli CCM sahivi mmeanza kuchanganyikiwa
 
Wallah hii nafsi ilikua njema mpaka mimi imeniuma na nilikua simjui kabisa
 
Samehe 7 * 70.
 
Afande SELE ANADUNDA MPAKA LEO

Hili ni angalizo TU.

All in all,
Serikali ifanye hatua na isitokee Tena mauaji au kupotea kwa mtu yeyote
 
Natamani kuiona miujiza ya Tanga. Very eager to see or experience Tangas miracles, (software za wazee wa Tanga), nimezoea kutumia Chinese miracles tools and software kwaajili ya kutengenezea simu
 
Wazo Zuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…